UKAWA mtusaidie hili kabla ya tarehe 14

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Tunaomba mtusaidie tuwaambie ndugu zetu ili wasibabaike siku ya kupiga kura uchaguzi wa mitaa ..Iko hivi, mmeungana sawa lakini watu wanauliza inamaana hata kwenye makaratasi ya kura vitaonekana vyama vyote vya ukawa ama kitakuwepo chama kimoja na mgombea mliyempitisha kama wa CUF ama CHADEMA ?

Mmeliwekaje hili ili tujue mapema siku tunaenda tusianze kuhangaika.
 
Mi nadhani vitatokea vyama vilivyosimamisha mgombea kwa niaba ya ukawa....sehemu nyingine si wamesimamisha wote nasikia?
 
Tunaomba mtusaidie tuwaambie ndugu zetu ili wasibabaike siku ya kupiga kura uchaguzi wa mitaa ..Iko hivi,mmeungana sawa lakini watu wanauliza inamaana hata kwenye makaratasi ya kura vitaonekana vyama vyote vya ukawa ama kitakuwepo chama kimoja na mgombea mliyempitisha kama wa cuf ama cdm? mmeliwekaje hili ili tujue mapema siku tunaenda tusianze kuhangaika
..watu mnauliza maswali ya kijinga sana sana,watz ni watu wavivu sana sana,mie nachoka na aina hii watu...ukawa ni ushirikiano wa vyama hivyo utaona jina la mgombea wa nafasi ya m/kiti yule aliye kubaliwa uenda kupitia cuf,nld,nccr au chadema,then wajumbe wanaweza kuchanganya so wewe chagua tu wagombea wa ukawa na wale wa ccm usideal nao wala kupiga mkasi/kosa.....si mnajua kupiga kura jamani,lakini wengi wenu hasa dar zii hamjajiandikisha
 
Kidogo hili linataka majibu ya haraka, Tafadhali wahusika mtusaidie mapema
 
..watu mnauliza maswali ya kijinga sana sana,watz ni watu wavivu sana sana,mie nachoka na aina hii watu...ukawa ni ushirikiano wa vyama hivyo utaona jina la mgombea wa nafasi ya m/kiti yule aliye kubaliwa uenda kupitia cuf,nld,nccr au chadema,then wajumbe wanaweza kuchanganya so wewe chagua tu wagombea wa ukawa na wale wa ccm usideal nao wala kupiga mkasi/kosa.....si mnajua kupiga kura jamani,lakini wengi wenu hasa dar zii hamjajiandikisha

Ungekuwa unachoka usingeandika maneno yote hayo ambayo si ya msaada ungeenda direct kwenye point
 
..watu mnauliza maswali ya kijinga sana sana,watz ni watu wavivu sana sana,mie nachoka na aina hii watu...ukawa ni ushirikiano wa vyama hivyo utaona jina la mgombea wa nafasi ya m/kiti yule aliye kubaliwa uenda kupitia cuf,nld,nccr

Very right. Kuna baadhi ya comments kama hizi ''hili nalo tumsubiri msemaje wa UKAWA'', or ''UKAWA mpo wapi mjibu?'' etc etc zinashangaza sana. Bado safari ni ndefu sana aisee...
 
Tunaomba mtusaidie tuwaambie ndugu zetu ili wasibabaike siku ya kupiga kura uchaguzi wa mitaa ..Iko hivi, mmeungana sawa lakini watu wanauliza inamaana hata kwenye makaratasi ya kura vitaonekana vyama vyote vya ukawa ama kitakuwepo chama kimoja na mgombea mliyempitisha kama wa CUF ama CHADEMA ? i

Mmeliwekaje hili ili tujue mapema siku tunaenda tusianze kuhangaika.

h

mmm
 
..watu mnauliza maswali ya kijinga sana sana,watz ni watu wavivu sana sana,mie nachoka na aina hii watu...ukawa ni ushirikiano wa vyama hivyo utaona jina la mgombea wa nafasi ya m/kiti yule aliye kubaliwa uenda kupitia cuf,nld,nccr au chadema,then wajumbe wanaweza kuchanganya so wewe chagua tu wagombea wa ukawa na wale wa ccm usideal nao wala kupiga mkasi/kosa.....si mnajua kupiga kura jamani,lakini wengi wenu hasa dar zii hamjajiandikisha

Kama wewe ndiye msemaji wa ukawa hufai kuwa msemaji wa ukawa. Pole sana.
 
..watu mnauliza maswali ya kijinga sana sana,watz ni watu wavivu sana sana,mie nachoka na aina hii watu...ukawa ni ushirikiano wa vyama hivyo utaona jina la mgombea wa nafasi ya m/kiti yule aliye kubaliwa uenda kupitia cuf,nld,nccr au chadema,then wajumbe wanaweza kuchanganya so wewe chagua tu wagombea wa ukawa na wale wa ccm usideal nao wala kupiga mkasi/kosa.....si mnajua kupiga kura jamani,lakini wengi wenu hasa dar zii hamjajiandikisha

Tuelimishane kamanda pasipo jaziba,ni sawa unavyosema lakini ni tofauti kidogo kwasababu baadhi ya mitaa Ukawa wamepita kwa pamoja wakisema wao wamempendekeza fulani ndo apigiwe,sasa kama ni hivi basi ilipendekeza ili apite waliyempenda abakie yeye tu na chama chake vinginevyo mtu anaweza akaamua kuendekeza mapenzi ya uchama akapiga cuf wakati alipendekezwa wa cdm na hvyo mkaishia kugawana kura na matokeo yake hazitoshi kotekote,ccm inapita kirahisi
 
..watu mnauliza maswali ya kijinga sana sana,watz ni watu wavivu sana sana,mie nachoka na aina hii watu...ukawa ni ushirikiano wa vyama hivyo utaona jina la mgombea wa nafasi ya m/kiti yule aliye kubaliwa uenda kupitia cuf,nld,nccr au chadema,then wajumbe wanaweza kuchanganya so wewe chagua tu wagombea wa ukawa na wale wa ccm usideal nao wala kupiga mkasi/kosa.....si mnajua kupiga kura jamani,lakini wengi wenu hasa dar zii hamjajiandikisha

Swali limeulizwa kama unajua toa jibu,kama hujui piga kimya!kashfa za nini?
 
Very right. Kuna baadhi ya comments kama hizi ''hili nalo tumsubiri msemaje wa UKAWA'', or ''UKAWA mpo wapi mjibu?'' etc etc zinashangaza sana. Bado safari ni ndefu sana aisee...

Unamapungufu makubwa sana kuliko yule aliyetaka kupata ufafanuzi. Kajipange upya huna msaada wowote hapa.
 
UKAWA sio chama cha siasa, na hakina ''haki'' ya kusimamisha mgombea sehemu yeyote. Mwanangu wa Darasa la Tano analifahamu hili vizuri sana.
 
Back
Top Bottom