UKAWA msidanganyike: Dr. Slaa pekee ndiye size ya Magufuli

UKAWA msidanganyike: Dr. Slaa pekee ndiye size ya Magufuli

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Kama UKAWA wanataka kuleta changamoto inabidi Dr Slaa awe mgombea wao.
Kwa nini nasema hivyo?
Kwa mgombea wa CCM, uwezo wake ulibebwa sana na Serikali kwa maana ya yeye kama Waziri akitumia kodi ya Wananchi aliweza kujijengea jina kwa utendaji wake.

Kwa Wapinzani;
Ni Dr Slaa kama Mgombea wa Urais na Katibu Mkuu wa Chama Kikuu cha Upinzani ndiye aliyeweza kuleta Ushindani mkubwa Uchaguzi 2010, na kupelekea Chama chake kuwa chama kikuu cha Upinzani nchini kwa kupata Wabunge wengi zaidi.

Ni Slaa huyu huyu aliyethubutu kutoa orodha ya mafisadi 11 maarufu kama List of Shame, ambayo kwa kiasi kikubwa imepelekea viongozi wengi kuwajibishwa. Na mpaka hii ngoma wanayoicheza CCM ya kumchagua huyu mgombea wao wa sasa Dr. Magufuli ni katika jitihada za kuepuka dhoruba ya kupoteza Urais 2015.

Ni Slaa pekee mwenye uzito wa kupambana na Magufuli kwani wote watakuwa na reference ya mmoja mabarabara na mwingine uwezo wa kuibua ufisadi na kusaidia kuokoa mamilioni ya watanzania na kuifanya serikali kuwa makini

Nawasirisha!
 
kwa utumishi upi aliotutumikia sisi watanzania na miaka yake 70 ya uzee wake adi kumfananiasha kuwa ni size ya magufuli?


Kumbuka Dr Slaa hajawahi kuwa Waziri wala Rais katika nchi hii, lakini aliweza kuleta ushindani mkali kwa JK na Serikali yake. Tena hana hofu na hana uoga kwani alidiriki kuwataja mafisadi kwa majina bila kujali vyeo vyao, nguvu zao sura zao kumbuka list of shame. Kitendo cha kutoa list of shame na kuendelea kuwaibua mafisadi waziwazi , sio tu kumemjengea Heshima bali kumesaidia kuokoa mamilioni ya fedha za walipa kodi na kuifanya Seikali ya CCM kuwa makini zaidi! Ni wapi Dr Magufuli alidiriki kufanya hivyo zaidi?
 
Kweli nimegundua Dr Slaa anaogopwa mno. Kila linaposikika jina hili masikioni mwa wana CCM ,wengi hutetemeka ajbu. Lakini hakuna namana ni lazima Dr Slaa aingie ulingoni na akishinda urais ccm wataihama nchi wakianzia na wakubwa wao na kumalizia na wadogo kwani ccm awe mdogo au mkubwa wote ni wezi tu.
 
Du imenena.dr slaa ni raisi ambaye anategemea kuapishwa tu.huyo pombe anywe pombe hana jipya kwenye mfumo dhalimu
 
Duh nyir ni kizee chenu hicho!kweli mna moyo. Hvi zaidi ya upadri na kua msimamizi wa hospital na kutaja hao mnao waita mafisadi tena kwa kuambiwa na mengi nini cha zaidi alicho kifanya?
 
Tushikamane tuhakikishe slaa anatuvusha kwenye changamoto kibao zilizo zalishwa na wana ccm! Na wanakili wenyewe m/kiti wao anasema eti magufuri amekuja kufufua uchumi! Tujiulize ni nani aliuhua? Mbona hawa ccm wamewafanya watu mbulula! Magufuri ni mlinzi wa masirahi ya wenyechama na sio analenga kuleta maendeleo.
 
watangaza nia wa ukawa kuanzia udiwani ,ubunge ;urais hakikisheni jimbo linakuwa Chini ya mbunge ukawa diwani ukawa hata rais kwann nimesema hivi ?ccm hawana jipya wameiba katiba ya wanainchi wanechakachua ,miswada ya gesi na mafuta pia wamepora kwa hati ya dharura ,ccm ni mafisadi bila kuhonga hawashindi uchaguzi watanzania simliwaona wakati wa kutafuta wadhamini walivyo honga pesa ?pale dosoma zilikamatwa shs milion 722 kwenye mikutano mkuu ,magufuri aliuza nyumba za serikari kwa bei ya kutupa kabisa ?meli ya magufuri tumehukumiwa bilion 8 lkn et watu wanasema magufuri ni mzuri mm nasema ndani ya ccm hakuna anaye tufaa watanzania maana mfumo wa ccm ni tatizo kubwa sana full kuiba Mali za um ma
 
Kweli nimegundua Dr Slaa anaogopwa mno. Kila linaposikika jina hili masikioni mwa wana CCM ,wengi hutetemeka ajbu. Lakini hakuna namana ni lazima Dr Slaa aingie ulingoni na akishinda urais ccm wataihama nchi wakianzia na wakubwa wao na kumalizia na wadogo kwani ccm awe mdogo au mkubwa wote ni wezi tu.

Kweli kabisa Dr Slaa for president 2015.
 
Kichwa chawa Dr Slaa ni mtendaji mzuri saana pamoja na Mhs Mbowe ndio maana CDM imefikia mahali ilipo!!
MaCCM wanatetemeka wakisikia jina la Dr Slaa!!
Tanzania bila kuondoa ufisadi hakutakuwa na maendeleo!! Maghufuli si rahisi kuondoa ufisadi maana yuko kwenye System ile ile, atafurukuta vipi??

Mwenye uwezo wa kupambana na ufisadi ni Dr Slaa, maana yeye na team yake wanachukia ufisadi!!
 
Last edited by a moderator:
Kaka wanachukia vipi ufisadi wakati ndani chama chao kuna ufisadi mkubwa sana,na pia kuingoza chama ambacho hakishiki dola ni tofauti. Dk slaa zaid ya kujua kupanga uongo na fitna aliojifunza tec hana jingine afadhali mbowe ameweza hata kuongoza biashara zake.
 
Onesmo kuwa pengine umri uliokuwa nao in tofauti na mawazo yako mawazo hayaangalii umrii
 
Nasikitika sana kusema silaa hawezi kupita urais hata ccm wangeweka jiwe. Alikubalika 2010 sio kigebazo hata mrema alikubalika 1995 lakini je sasa. Kwa hiyo akipitishwa hata 2% hawezi kupata. Tanzania wanazidi kuelewa ukatibu wa cdm chama kisicho na dola kinachoendeshwa kwa ruzuku analipwa milioni 11 akiwa rais si atajilipa mabilioni analipwa hela zote alafu ofisi ya chama ya kupanga. Hakuna ukombozi katika chama hiki.
 
Wat wanaoshabikia wezi wamelewa utumwa. Mtumwa akipewa uhuru hakubali maana alishazoea utumwa. Mtu anakuibia waziwazi halafu unabaki kumpigia makofi.Kama sio uchizi ni nini?
 
Back
Top Bottom