nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
dr slaa ni chaguo pekee ukawa. nje ya hapo kura yangu wameikosa. ukawa wasirogwe kumpokea lowasa watasambaratika na kupotea
Nasikitika sana kusema silaa hawezi kupita urais hata ccm wangeweka jiwe. Alikubalika 2010 sio kigebazo hata mrema alikubalika 1995 lakini je sasa. Kwa hiyo akipitishwa hata 2% hawezi kupata. Tanzania wanazidi kuelewa ukatibu wa cdm chama kisicho na dola kinachoendeshwa kwa ruzuku analipwa milioni 11 akiwa rais si atajilipa mabilioni analipwa hela zote alafu ofisi ya chama ya kupanga. Hakuna ukombozi katika chama hiki.