Wanaukumbi.
Baada ya Jiji la Dar es Saalma kuwa chini ya Ukawa, hali imekuwa tete kwa wafanyabiashara na raia wa kawaida.
Mameya wa Ukawa pamoja na madiwani wake wananchi wanasikitika sana kwa maamuzi yenu mapya ya kulipia bango la ofisi au duka Sh 500, 000 kila duka kwa mwaka na kulipia ushuru wa taka kila duka na ofisi Sh 30, 000 kwa mwezi, leseni za biashara 300, 000 kila duka kwa mwaka taka za majumbani 20, 000 kila kaya kwa mwezi Ukawa jaribu kuwapunguzia huu mzigo wananchi hali ya maisha ni ngumu sana.
Kulipia bango kwa mwaka 500, 000 inazidi hata kodi ya duka au ofisi cha kujiuliza hizo pesa zinakwenda wapi maana hata taa za barabarani sasa hivi zinawaka baadhi ya maeneo tu ya Jiji la Dar es Salaam mnaogopa kuwasha maeneo yote mnakwepa kulipa Luku Tanesco.
Wananchi wamehamua kuwachagua Ukawa wakijua kuwa watapata nafuu ya maisha badala yake wameambulia machungu ya maisha.
Ukawa kazi yao ni mdomoni tu utendaji ni sifuri nna uhakika miaka 5 itaisha hakuna watachofanya. Ubungo Kubenea hakuna analifanya. Kawe Halima hakuna analofanya. Kibamba kamnyika ndio kanazunguka maneno matupu hakuna utendaji.
Sasa wanatengeneza ulaji kwenye mabango na taka.
Inasikitisha sana mtu ana kiduka chake za kuuza maji na vocha unataka alipie bango 500, 000 kwa mwezi daah!!Ukawa kazi yao ni mdomoni tu utendaji ni sifuri nna uhakika miaka 5 itaisha hakuna watachofanya. Ubungo Kubenea hakuna analifanya. Kawe Halima hakuna analofanya. Kibamba kamnyika ndio kanazunguka maneno matupu hakuna utendaji.
Sasa wanatengeneza ulaji kwenye mabango na taka.
Mkuu ukiona muuza jui kaweka bango kubwa, basi hastahili huruma.Inasikitisha sana mtu ana kiduka chake za kuuza maji na vocha unataka alipie bango 500, 000 kwa mwezi daah!!
Yaani una maana nikiwa na kiduka ninacholipia kodi ya nyumba laki 2, na nina mtaji wa laki tano nitatakiwa nilipie kodi ya bango laki tano?Inasikitisha sana mtu ana kiduka chake za kuuza maji na vocha unataka alipie bango 500, 000 kwa mwezi daah!!
Wenyewe hawajui habari ya kodi yako wao wanataka ulipe laki 5 za kuweka bango kwenye kiduka chako ambalo linaonyesha biashara unayofanya kuuza maji na juice.Yaani una maana nikiwa na kiduka ninacholipia kodi ya nyumba laki 2, na nina mtaji wa laki tano nitatakiwa nilipie kodi ya bango laki tano?
Ni bango lipi hilo kwani kwa sababu naweza nikawa sina bango
hata hapa kwetu chalinze riz atuoni anachofanya zaid ya kuzunguka tu taun hukoUkawa kazi yao ni mdomoni tu utendaji ni sifuri nna uhakika miaka 5 itaisha hakuna watachofanya. Ubungo Kubenea hakuna analifanya. Kawe Halima hakuna analofanya. Kibamba kamnyika ndio kanazunguka maneno matupu hakuna utendaji.
Sasa wanatengeneza ulaji kwenye mabango na taka.
Naomba ufafanuzi hapo kwenye nyekundu tafadhali manake kwa sasa nipo shamba na nitakuwepo huku kwa wiki kadhaa wakati nina kabanda kangu mjini. ni duka lenye viashria vp hilo ambalo tunatakiwa kulipia bango sh.500K kwa mwaka? Yaani kale kabango kangu nilikoandika "Plusbee Shop: Pata Huduma Zifuatazo...." ndiko nilipie Sh.500K wakati thamani ya bidhaa zote hazifiki hiyo thamani, au?kulipia bango la ofisi au duka Sh 500, 000 kila duka kwa mwaka
Ndio madhara haya kuchaguwa mbumbumbu...matokeo yake wananchi wanakonda yeye ananenepa mashavu huku kichwa na ubongo vinasinyaa kama anaumwa zika.Wanaukumbi.
Baada ya Jiji la Dar es Saalma kuwa chini ya Ukawa, hali imekuwa tete kwa wafanyabiashara na raia wa kawaida.
Mameya wa Ukawa pamoja na madiwani wake wananchi wanasikitika sana kwa maamuzi yenu mapya ya kulipia bango la ofisi au duka Sh 500, 000 kila duka kwa mwaka na kulipia ushuru wa taka kila duka na ofisi Sh 30, 000 kwa mwezi, leseni za biashara 300, 000 kila duka kwa mwaka taka za majumbani 20, 000 kila kaya kwa mwezi Ukawa jaribu kuwapunguzia huu mzigo wananchi hali ya maisha ni ngumu sana.
Kulipia bango kwa mwaka 500, 000 inazidi hata kodi ya duka au ofisi cha kujiuliza hizo pesa zinakwenda wapi maana hata taa za barabarani sasa hivi zinawaka baadhi ya maeneo tu ya Jiji la Dar es Salaam mnaogopa kuwasha maeneo yote mnakwepa kulipa Luku Tanesco.
Wananchi wamehamua kuwachagua Ukawa wakijua kuwa watapata nafuu ya maisha badala yake wameambulia machungu ya maisha.
CCM imefanya nini huko majimboni ambapo wananchi wake wenye Lana wanakula viwavi?
Mkuu,Duh! Yaani unawaita watu wenye shida ya chakula na kupelekea kula wadudu wana laana, jitafakali kidogo hizi ni Siasa tu bro na zisikufanye uanze kuwahukumu watu usiowajua na wala usiowalewa hawa watu wamepata shida na wana njaa ni kama shida nyingine yoyote tu ile kuna watu pia wanapata shida wanafiwa na familia nzima kwenye ajali sasa utamuita huyu mtu pia ana laana?
Hapa Duniani wote tunapita ndugu na usifanye hizi siasa ambazo viongozi wetu wenyewe hukutana kempsinsky na kunywa mvinyo zikatujengea chuki namna hiyo, siasa zisikuondolee ubinadamu, acha hizo!
Wanaukumbi.
Baada ya Jiji la Dar es Salam kuwa chini ya UKAWA, hali imekuwa tete kwa wafanyabiashara na raia wa kawaida.
Mameya wa UKAWA pamoja na madiwani wake wananchi wanasikitika sana kwa maamuzi yenu mapya ya kulipia bango la ofisi au duka Sh 500, 000 kila duka kwa mwaka na kulipia ushuru wa taka kila duka na ofisi Sh 30, 000 kwa mwezi, leseni za biashara 300, 000 kila duka kwa mwaka taka za majumbani 20, 000 kila kaya kwa mwezi UKAWA jaribu kuwapunguzia huu mzigo wananchi hali ya maisha ni ngumu sana.
Kulipia bango kwa mwaka 500, 000 inazidi hata kodi ya duka au ofisi cha kujiuliza hizo pesa zinakwenda wapi maana hata taa za barabarani sasa hivi zinawaka baadhi ya maeneo tu ya Jiji la Dar es Salaam mnaogopa kuwasha maeneo yote mnakwepa kulipa Luku TANESCO.
Wananchi wamehamua kuwachagua UKAWA wakijua kuwa watapata nafuu ya maisha badala yake wameambulia machungu ya maisha.