UKAWA, mnatusaliti wapiga kura wenu, kodi ya mabango na ushuru wa taka tukimbilie wapi?

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,572
31,887
Wanaukumbi.

Baada ya Jiji la Dar es Salam kuwa chini ya UKAWA, hali imekuwa tete kwa wafanyabiashara na raia wa kawaida.

Mameya wa UKAWA pamoja na madiwani wake wananchi wanasikitika sana kwa maamuzi yenu mapya ya kulipia bango la ofisi au duka Sh 500, 000 kila duka kwa mwaka na kulipia ushuru wa taka kila duka na ofisi Sh 30, 000 kwa mwezi, leseni za biashara 300, 000 kila duka kwa mwaka taka za majumbani 20, 000 kila kaya kwa mwezi UKAWA jaribu kuwapunguzia huu mzigo wananchi hali ya maisha ni ngumu sana.

Kulipia bango kwa mwaka 500, 000 inazidi hata kodi ya duka au ofisi cha kujiuliza hizo pesa zinakwenda wapi maana hata taa za barabarani sasa hivi zinawaka baadhi ya maeneo tu ya Jiji la Dar es Salaam mnaogopa kuwasha maeneo yote mnakwepa kulipa Luku TANESCO.

Wananchi wamehamua kuwachagua UKAWA wakijua kuwa watapata nafuu ya maisha badala yake wameambulia machungu ya maisha.
 
Ukawa kazi yao ni mdomoni tu utendaji ni sifuri nna uhakika miaka 5 itaisha hakuna watachofanya. Ubungo Kubenea hakuna analifanya. Kawe Halima hakuna analofanya. Kibamba kamnyika ndio kanazunguka maneno matupu hakuna utendaji.

Sasa wanatengeneza ulaji kwenye mabango na taka.
 
Wanaukumbi.

Baada ya Jiji la Dar es Saalma kuwa chini ya Ukawa, hali imekuwa tete kwa wafanyabiashara na raia wa kawaida.

Mameya wa Ukawa pamoja na madiwani wake wananchi wanasikitika sana kwa maamuzi yenu mapya ya kulipia bango la ofisi au duka Sh 500, 000 kila duka kwa mwaka na kulipia ushuru wa taka kila duka na ofisi Sh 30, 000 kwa mwezi, leseni za biashara 300, 000 kila duka kwa mwaka taka za majumbani 20, 000 kila kaya kwa mwezi Ukawa jaribu kuwapunguzia huu mzigo wananchi hali ya maisha ni ngumu sana.

Kulipia bango kwa mwaka 500, 000 inazidi hata kodi ya duka au ofisi cha kujiuliza hizo pesa zinakwenda wapi maana hata taa za barabarani sasa hivi zinawaka baadhi ya maeneo tu ya Jiji la Dar es Salaam mnaogopa kuwasha maeneo yote mnakwepa kulipa Luku Tanesco.

Wananchi wamehamua kuwachagua Ukawa wakijua kuwa watapata nafuu ya maisha badala yake wameambulia machungu ya maisha.

Nyie ni laana tu na disgrace ya kupindukia....

Huko chalinze mswahili mwenzenu kawaweka kapuni hamna maji huu mwezi Wa tatu unakatikia viuno upuuzi na uongo....

Hivi hiki kizazi chenu cha Lana kitakwisha lini?
 
Ukawa kazi yao ni mdomoni tu utendaji ni sifuri nna uhakika miaka 5 itaisha hakuna watachofanya. Ubungo Kubenea hakuna analifanya. Kawe Halima hakuna analofanya. Kibamba kamnyika ndio kanazunguka maneno matupu hakuna utendaji.

Sasa wanatengeneza ulaji kwenye mabango na taka.

CCM imefanya nini huko majimboni ambapo wananchi wake wenye Lana wanakula viwavi?
 
Inasikitisha sana mtu ana kiduka chake za kuuza maji na vocha unataka alipie bango 500, 000 kwa mwezi daah!!
 
Yaani una maana nikiwa na kiduka ninacholipia kodi ya nyumba laki 2, na nina mtaji wa laki tano nitatakiwa nilipie kodi ya bango laki tano?
Ni bango lipi hilo kwani kwa sababu naweza nikawa sina bango
 
Wenyewe hawajui habari ya kodi yako wao wanataka ulipe laki 5 za kuweka bango kwenye kiduka chako ambalo linaonyesha biashara unayofanya kuuza maji na juice.
 
Ukawa kazi yao ni mdomoni tu utendaji ni sifuri nna uhakika miaka 5 itaisha hakuna watachofanya. Ubungo Kubenea hakuna analifanya. Kawe Halima hakuna analofanya. Kibamba kamnyika ndio kanazunguka maneno matupu hakuna utendaji.

Sasa wanatengeneza ulaji kwenye mabango na taka.
hata hapa kwetu chalinze riz atuoni anachofanya zaid ya kuzunguka tu taun huko
 
Mi naona ni sawa maana kama wajitangaza maana yake una huo uwezo
Afu hilo lilikuwepo toka zamani kwa Kinondoni sema tu haiajawahi ongelewa
 
kulipia bango la ofisi au duka Sh 500, 000 kila duka kwa mwaka
Naomba ufafanuzi hapo kwenye nyekundu tafadhali manake kwa sasa nipo shamba na nitakuwepo huku kwa wiki kadhaa wakati nina kabanda kangu mjini. ni duka lenye viashria vp hilo ambalo tunatakiwa kulipia bango sh.500K kwa mwaka? Yaani kale kabango kangu nilikoandika "Plusbee Shop: Pata Huduma Zifuatazo...." ndiko nilipie Sh.500K wakati thamani ya bidhaa zote hazifiki hiyo thamani, au?
 
Wanaukumbi.

Baada ya Jiji la Dar es Saalma kuwa chini ya Ukawa, hali imekuwa tete kwa wafanyabiashara na raia wa kawaida.

Mameya wa Ukawa pamoja na madiwani wake wananchi wanasikitika sana kwa maamuzi yenu mapya ya kulipia bango la ofisi au duka Sh 500, 000 kila duka kwa mwaka na kulipia ushuru wa taka kila duka na ofisi Sh 30, 000 kwa mwezi, leseni za biashara 300, 000 kila duka kwa mwaka taka za majumbani 20, 000 kila kaya kwa mwezi Ukawa jaribu kuwapunguzia huu mzigo wananchi hali ya maisha ni ngumu sana.

Kulipia bango kwa mwaka 500, 000 inazidi hata kodi ya duka au ofisi cha kujiuliza hizo pesa zinakwenda wapi maana hata taa za barabarani sasa hivi zinawaka baadhi ya maeneo tu ya Jiji la Dar es Salaam mnaogopa kuwasha maeneo yote mnakwepa kulipa Luku Tanesco.

Wananchi wamehamua kuwachagua Ukawa wakijua kuwa watapata nafuu ya maisha badala yake wameambulia machungu ya maisha.
Ndio madhara haya kuchaguwa mbumbumbu...matokeo yake wananchi wanakonda yeye ananenepa mashavu huku kichwa na ubongo vinasinyaa kama anaumwa zika.
 
Sasa wewe unataka halmashauri kubwa kama kinondoni ijiendeshaje?, Think twice before u complain.
 
Wapuuzi wakubwa miaka yote watu wa Dar mliwafanya wateja wenu ila mwaka Jana wamewafanyia kitu mbaya mnaishia kujiliza tu .....Tulieni dawa iwaingie vzr nayule jamaa aliempa MTU wake kuagiza Mafuta ghali mwambieni abaneee.....lkn ataachia tutapata MEYA wa DAR
 
CCM imefanya nini huko majimboni ambapo wananchi wake wenye Lana wanakula viwavi?

Duh! Yaani unawaita watu wenye shida ya chakula na kupelekea kula wadudu wana laana, jitafakali kidogo hizi ni Siasa tu bro na zisikufanye uanze kuwahukumu watu usiowajua na wala usiowalewa hawa watu wamepata shida na wana njaa ni kama shida nyingine yoyote tu ile kuna watu pia wanapata shida wanafiwa na familia nzima kwenye ajali sasa utamuita huyu mtu pia ana laana?

Hapa Duniani wote tunapita ndugu na usifanye hizi siasa ambazo viongozi wetu wenyewe hukutana kempisnsky na kunywa mvinyo zikatujengea chuki namna hiyo, siasa zisikuondolee ubinadamu, acha hizo!
 
Duh! Yaani unawaita watu wenye shida ya chakula na kupelekea kula wadudu wana laana, jitafakali kidogo hizi ni Siasa tu bro na zisikufanye uanze kuwahukumu watu usiowajua na wala usiowalewa hawa watu wamepata shida na wana njaa ni kama shida nyingine yoyote tu ile kuna watu pia wanapata shida wanafiwa na familia nzima kwenye ajali sasa utamuita huyu mtu pia ana laana?

Hapa Duniani wote tunapita ndugu na usifanye hizi siasa ambazo viongozi wetu wenyewe hukutana kempsinsky na kunywa mvinyo zikatujengea chuki namna hiyo, siasa zisikuondolee ubinadamu, acha hizo!
Mkuu,

Tatizo wengi wamekurupukia siasa ukubwani. Huyo Mbowe juzi tu hapa tulikuwa nae Protea na huku tukiwa na mavazi yetu ya chama (CCM)....Halafu yupo mtu huko uswahilini mishipa inamtoka kuichukia CCM huku akimsujudia Mbowe....People should just relax and live their lives...Hizi chuki kwenye siasa ni ujuha tu.
 
Wanaukumbi.

Baada ya Jiji la Dar es Salam kuwa chini ya UKAWA, hali imekuwa tete kwa wafanyabiashara na raia wa kawaida.

Mameya wa UKAWA pamoja na madiwani wake wananchi wanasikitika sana kwa maamuzi yenu mapya ya kulipia bango la ofisi au duka Sh 500, 000 kila duka kwa mwaka na kulipia ushuru wa taka kila duka na ofisi Sh 30, 000 kwa mwezi, leseni za biashara 300, 000 kila duka kwa mwaka taka za majumbani 20, 000 kila kaya kwa mwezi UKAWA jaribu kuwapunguzia huu mzigo wananchi hali ya maisha ni ngumu sana.

Kulipia bango kwa mwaka 500, 000 inazidi hata kodi ya duka au ofisi cha kujiuliza hizo pesa zinakwenda wapi maana hata taa za barabarani sasa hivi zinawaka baadhi ya maeneo tu ya Jiji la Dar es Salaam mnaogopa kuwasha maeneo yote mnakwepa kulipa Luku TANESCO.

Wananchi wamehamua kuwachagua UKAWA wakijua kuwa watapata nafuu ya maisha badala yake wameambulia machungu ya maisha.

SIdhani kama kuna ukweli.Maana zamani kwenye nyumba zetu Sinza hapo tulikuwa tunalipa kila week Tzs.5000,na unapewa risiti ya Halmashauri,Ritz pesa hizi Madiwani wa CCM walikuwa wanapeleka wapi??

Hayo mabango yameanishwa kulingana na vipimo wengi walikuw ahawalipi.Mie nilidhani Ritz utasimamia ukweli kwa wale waliokuwa wanalipa chini ya kiwango stahiki walipe na fidia.

Ndiyo yale anayofanya Magufuli leo,watu walikuwa hawalipi kodi lakini baadhi yetu wanamalaumu,Mbona haujalaumu Magufuli kuwalipisha watu kodi stahiki?Au sababu Magufuli ni CCM??

Ilielezwa vizuri kabisa kwamba kuna wafanya biashara walikuwa hawalipi kodi ya mabongo kwa uhalali.Walipe tu,maana hakuna njia nyingine.Kama anaona anaonewa arudi WIlayani kuomba kufanyiwa tathmini upya.

Lakini tuunge mkono juhudi za Magufuli na watendaji wa Halmsahuri,walipe tu Ritz
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom