Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 49,681
- 39,012
Wanaukumbi.
Baada ya Jiji la Dar es Salam kuwa chini ya UKAWA, hali imekuwa tete kwa wafanyabiashara na raia wa kawaida.
Mameya wa UKAWA pamoja na madiwani wake wananchi wanasikitika sana kwa maamuzi yenu mapya ya kulipia bango la ofisi au duka Sh 500, 000 kila duka kwa mwaka na kulipia ushuru wa taka kila duka na ofisi Sh 30, 000 kwa mwezi, leseni za biashara 300, 000 kila duka kwa mwaka taka za majumbani 20, 000 kila kaya kwa mwezi UKAWA jaribu kuwapunguzia huu mzigo wananchi hali ya maisha ni ngumu sana.
Kulipia bango kwa mwaka 500, 000 inazidi hata kodi ya duka au ofisi cha kujiuliza hizo pesa zinakwenda wapi maana hata taa za barabarani sasa hivi zinawaka baadhi ya maeneo tu ya Jiji la Dar es Salaam mnaogopa kuwasha maeneo yote mnakwepa kulipa Luku TANESCO.
Wananchi wamehamua kuwachagua UKAWA wakijua kuwa watapata nafuu ya maisha badala yake wameambulia machungu ya maisha.