meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Mnakuza mambo na kumuwekea maneno mdomoni mwa Mtu...
Wote tulimsikia Gwajima, akieleza kumuheshimu Ngalikumtwa.
Sasa huo ugomvi wa Catholic na Gwajima unatokea wapi??
Ngalikumtwa ni nani?
Mkuu hii thread yako imejaa hisia tu na hujaonyesha mashiko yoyote zaidi ya kutaka kutia hofu ambayo kimsingi haipo...
Ukweli utatuweka huru
Sijakuelewa unachoimanisha wewe mletamada
Rudia kusoma utanielewa!
Thread yako inamashudu na unafki sana
Gwajima kweli ni shujaa, mpiganaji, msemakweli bila kuogopa, bora ukamuacha kuliko kumchokoza binafsi nampenda na ni mfano wa kuigwa swala la kutumia maneno ambayo hata muhusika hayamuumi. It's shame kabisa.
Wewe ndio mbumbumbu kbs CCM wapo kimya kwenye hili maana wanajua madhara yake......
Wewe ndiye mnafiki yataje mashudu na unafiki utaeleweka.