UKAWA lazimisheni Serikari, Uchaguzi wa serikali za mitaa ufanyike April 2015

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Nimekula elimu nzuri sana, kupitia ITV juu ya maswala ya uchaguzi huu.

Kiufupi ni watunga sheria, kanuni, sheria na miongozo yake yote ya uchaguz huu zimetungwa na maCCM, mapingamiz wanasikikiza wao, rufaa wanasikikiza wao, watasimamia wao.Kifuatacho ni kuibiwa kura na kukosa nafasi za kuongoza mitaa, kwani muongozo wa uchaguzi ni mgumu sana.

Sijui kama viongozi wa ukawa waliona?

Niwazo langu tu.
 

Mkuu kwani huu uchaguzi ni
Mpya kwako?umenusa kushindwa?
 

Katiba mmeikataa sasa mnataka kanuni zipi zifuatwe!
 
Mkuu chadema ni chama cha wasomi.kweli wanashindwa kutafsiri kanuni za uchaguzi?

Shida iliupite unahitaji idadi ya kura na wengi unawajua, na muhongozo huu ulifichwa sanaaaa wameutoa muda umeshakwenda.

But naona matumaini ya ukawa kuchua mitaa ni mingi sanaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…