frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,099
- 1,338
Nimekula elimu nzuri sana, kupitia ITV juu ya maswala ya uchaguzi huu.
Kiufupi ni watunga sheria, kanuni, sheria na miongozo yake yote ya uchaguz huu zimetungwa na maCCM, mapingamiz wanasikikiza wao, rufaa wanasikikiza wao, watasimamia wao.Kifuatacho ni kuibiwa kura na kukosa nafasi za kuongoza mitaa, kwani muongozo wa uchaguzi ni mgumu sana.
Sijui kama viongozi wa ukawa waliona?
Niwazo langu tu.