UKAWA lazimisheni Serikari, Uchaguzi wa serikali za mitaa ufanyike April 2015

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,100
1,195
Nimekula elimu nzuri sana, kupitia ITV juu ya maswala ya uchaguzi huu.

Kiufupi ni watunga sheria, kanuni, sheria na miongozo yake yote ya uchaguz huu zimetungwa na maCCM, mapingamiz wanasikikiza wao, rufaa wanasikikiza wao, watasimamia wao.Kifuatacho ni kuibiwa kura na kukosa nafasi za kuongoza mitaa, kwani muongozo wa uchaguzi ni mgumu sana.

Sijui kama viongozi wa ukawa waliona?

Niwazo langu tu.
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,116
2,000
Nimekula elimu nzuri sana, kupitia ITV juu ya maswala ya uchaguzi huu.

kiufupi ni watunga sheria, kanuni, sheria na miongozo yake yote ya uchaguz huu zimetungwa na maCCM, mapingamiz wanasikikiza wao, rufaa wanasikikiza wao, watasimamia wao...kifatacho ni kuibiwa kura na kukosa nafasi za kuongoza mitaa, kwani muongozo wa uchaguzi ni mgumu sana....sijui kama viongozi wa ukawa waliona?

Niwazo langu tu..nimeoa hili.
Mkuu kwani huu uchaguzi ni
Mpya kwako?umenusa kushindwa?
 
Ghosryder

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
9,633
2,000
Nimekula elimu nzuri sana, kupitia ITV juu ya maswala ya uchaguzi huu.

Kiufupi ni watunga sheria, kanuni, sheria na miongozo yake yote ya uchaguz huu zimetungwa na maCCM, mapingamiz wanasikikiza wao, rufaa wanasikikiza wao, watasimamia wao.Kifuatacho ni kuibiwa kura na kukosa nafasi za kuongoza mitaa, kwani muongozo wa uchaguzi ni mgumu sana.

Sijui kama viongozi wa ukawa waliona?

Niwazo langu tu.
Katiba mmeikataa sasa mnataka kanuni zipi zifuatwe!
 
frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,100
1,195
Mkuu chadema ni chama cha wasomi.kweli wanashindwa kutafsiri kanuni za uchaguzi?
Shida iliupite unahitaji idadi ya kura na wengi unawajua, na muhongozo huu ulifichwa sanaaaa wameutoa muda umeshakwenda.

But naona matumaini ya ukawa kuchua mitaa ni mingi sanaaaaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom