Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,808
- 165,564
wamrudishe kubenea kuwa mhariri wa mwanahalisi
Ha ha haaaa yaani unamaanisha watumie, tanzania daima na mwanahalisi
wamrudishe kubenea kuwa mhariri wa mwanahalisi
Endeleeni kukumbatia mafisadi yenu hamna mwenye mpango na nyie tena.
Kinyesi hakipuliziwi perfume.
Yani kama pasi ya mpira uwanja ni....halafu hakuna timu pinzani....Hayo unayoyaita mambo ya msingi wayapate wapi, wanayo? wapinzani wameshindwa kuji-position kisera, ki-agenda na kimkakati katika political environment iliyobadilika kutoka JK's haphazard kwenda JPM focused Government. Ni hatari!
Focused government,ni kweli hasa na wataendelea kuisoma namba!!!!Hayo unayoyaita mambo ya msingi wayapate wapi, wanayo? wapinzani wameshindwa kuji-position kisera, ki-agenda na kimkakati katika political environment iliyobadilika kutoka JK's haphazard kwenda JPM focused Government. Ni hatari!
Mama Samia anakushangaa huko aliko.Hayo unayoyaita mambo ya msingi wayapate wapi, wanayo? wapinzani wameshindwa kuji-position kisera, ki-agenda na kimkakati katika political environment iliyobadilika kutoka JK's haphazard kwenda JPM focused Government. Ni hatari!
Kwani ITV na Channel 10 mnayoitumia ni mali ya CCM?Ha ha haaaa yaani unamaanisha watumie, tanzania daima na mwanahalisi
Yani kama pasi ya mpira uwanja ni....halafu hakuna timu pinzani....
Ha ha haaaa yaani unamaanisha watumie, tanzania daima na mwanahalisi
Hivi sasa ukiangalia ITV utaona ziara ya ghafla ya Raisi Magufuli inarudiwa na pia Channel 10 walitangaza kuwa wangerudia tukio lote hilo baada ya taarifa yao ya habari ya saa 1:00 usiku huu na msimulizi katika kipindi hiki kwa sauti bila shaka ni Msigwa wa magogoni.
Sasa wapinzani,wakati Bunge live likiwe limepigwa stop huku mambo haya yakiendelea,inabidi mjitafakari sana na ikibidi na nyie muwe teyari kutumia media kwa mambo ya msingi mnayofanya vinginevyo hali hii itakuja kuwa -cost.
Ni ushauri tu.
Hahahahahaaaaa. Kwa hiyo hautaki taarifa za Rais zioneshwe live?
Hizi zote ni kampeni na ni wazi hamjiamini kabisa!Hahahahahaaaaa. Kwa hiyo hautaki taarifa za Rais zioneshwe live?
Hawa jamaa wako kwenye kampeni ya 2020 huku wakijaribu kudhoofisha upinzani kwa namna wanavyoweza.Nadhani CHADEMA Wajipanga,Naona JPM Ameanza Kampeni Mapema!
Wapinzani wa Tanzania amejaliwa kufanya mambo ya hovyohovyo tu kama kuzomeazomea, kutukana, kuangukia kiliowatukana miaka 8 kuwa mafisadi (unafiki). Haya hayafai kuwekwa kwenye Tv.Hivi sasa ukiangalia ITV utaona ziara ya ghafla ya Raisi Magufuli aliyoifanya leo JNIA inarudiwa na pia Channel 10 walitangaza kuwa wangerudia tukio lote hilo baada ya taarifa yao ya habari ya saa 1:00 usiku huu na msimulizi katika kipindi hiki kwa sauti bila shaka ni Msigwa wa magogoni.
Sasa wapinzani,wakati Bunge live likiwe limepigwa stop huku mambo haya yakiendelea,inabidi mjitafakari sana na ikibidi na nyie muwe teyari kutumia media kwa mambo ya msingi mnayofanya vinginevyo hali hii itakuja kuwa -cost.
Ni ushauri tu.