UKAWA kutumia mawakala 5 (CUF, CHADEMA, NCCR, NLD, TLP) kulinda kura za Lowassa CCM mmoja 1

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Umoja wa katiba ya wananchi (ukawa) wamekubaliana kura za mgombea uraisi kulindwa na mawakala watano.

Mawakala wanne ni kutoka vyama vinayounda ukawa - nld, nccr, cuf na chadema.
Na wakala mwingine ni wa chama kina cho support lowasa ; tlp kupitia maxmilian lyimo; ambaye kwa sasa katangaza kumuunga mkono ; ndugu edward lowasa.

Huu ni mkakati wa kuongeza tija na kuthibiti; watu waitacho bao la mkono.

Na hii ni pigo kwa ccm kwa formation ya 4 (striker) against 1 (defender); hii ni kufutilia mbali kross na kona ili wasipate bao la mkono; hii inaitwa tit making

hii ni faida kwani nec aitambui ukawa; inatambuwa mgombea chadema; hawa mawakala wanaingia kwa mwavuli wa ukawa.

Kwahiyo zile ndoto za duni za vituo 20,000; za vutwa ghafla.
NEC.JPG
 
Dah mackmilan katangaza lini mkuu ilihali mrema m/kiti wake anasapot ccm
 
Cjaelewa Chochote labda mlioelewa nisaidieni

ICT masaki, who is on Duty this wikiendi??
 
Wewe hujielewi na hujawahi kujielewa siku zote,hao CUF,NLD,NCCR watakuweje mawakala wa urais wakati hawana mgombea
 
ningeomba ayo madumu ya kura yakaguliwe kwanza kuhakisha kama ni matupu wakati yanakuja vituoni
 
Nilisikia Tume ikisema kuwa El anagombea kupitia Chadema, hivyo ni wakala toka chama hicho tu ndiye atakayewakilisha! Tume imesema haitabui chama kinachoitwa Ukawa!
 
Umoja wa katiba ya wananchi (ukawa) wamekubaliana kura za mgombea uraisi kulindwa na mawakala watano.

Mawakala wanne ni kutoka vyama vinayounda ukawa - nld, nccr, cuf na chadema.
Na wakala mwingine ni wa chama kina cho support lowasa ; tlp kupitia maxmilian lyimo; ambaye kwa sasa katangaza kumuunga mkono ; ndugu edward lowasa.

Huu ni mkakati wa kuongeza tija na kuthibiti; watu waitacho bao la mkono.

Na hii ni pigo kwa ccm kwa formation ya 4 (striker) against 1 (defender); hii ni kufutilia mbali kross na kona ili wasipate bao la mkono; hii inaitwa tit making

hii ni faida kwani nec aitambui ukawa; inatambuwa mgombea chadema; hawa mawakala wanaingia kwa mwavuli wa ukawa.

Kwahiyo zile ndoto za duni za vituo 20,000; za vutwa ghafla.
View attachment 296796

Tatizo lako ni ulofa +upumbavuuu ndo linakufanya ufikir kidogoo..watakuwaje mawakala 5 pale ambapo jimbo hilo limemsimamisha mgombea ubunge kutoka chadem na udiwani kutoka chadem...hao wengine watatu wataenda kulinda kura zanani au ukawa ni chama..mkuu jipange kwanza kichwani la sivyo huo ulofa na upumbavu hauwezi kuisha
 
Umoja wa katiba ya wananchi (ukawa) wamekubaliana kura za mgombea uraisi kulindwa na mawakala watano.

Mawakala wanne ni kutoka vyama vinayounda ukawa - nld, nccr, cuf na chadema.
Na wakala mwingine ni wa chama kina cho support lowasa ; tlp kupitia maxmilian lyimo; ambaye kwa sasa katangaza kumuunga mkono ; ndugu edward lowasa.

Huu ni mkakati wa kuongeza tija na kuthibiti; watu waitacho bao la mkono.

Na hii ni pigo kwa ccm kwa formation ya 4 (striker) against 1 (defender); hii ni kufutilia mbali kross na kona ili wasipate bao la mkono; hii inaitwa tit making

hii ni faida kwani nec aitambui ukawa; inatambuwa mgombea chadema; hawa mawakala wanaingia kwa mwavuli wa ukawa.

Kwahiyo zile ndoto za duni za vituo 20,000; za vutwa ghafla.
View attachment 296796
Mkuu umehamia UKAWA?? na kama uko ukawa huenda umechukizwa na makomeo kumtosa yule mbunge wa vunjo
 
Umoja wa katiba ya wananchi (ukawa) wamekubaliana kura za mgombea uraisi kulindwa na mawakala watano.

Mawakala wanne ni kutoka vyama vinayounda ukawa - nld, nccr, cuf na chadema.
Na wakala mwingine ni wa chama kina cho support lowasa ; tlp kupitia maxmilian lyimo; ambaye kwa sasa katangaza kumuunga mkono ; ndugu edward lowasa.

Huu ni mkakati wa kuongeza tija na kuthibiti; watu waitacho bao la mkono.

Na hii ni pigo kwa ccm kwa formation ya 4 (striker) against 1 (defender); hii ni kufutilia mbali kross na kona ili wasipate bao la mkono; hii inaitwa tit making

hii ni faida kwani nec aitambui ukawa; inatambuwa mgombea chadema; hawa mawakala wanaingia kwa mwavuli wa ukawa.

Kwahiyo zile ndoto za duni za vituo 20,000; za vutwa ghafla.
View attachment 296796

Siku hizi una mepenzi makubwa na Ukawa eeeeeh
 
Acheni ujuha,hakuna chama kinaitwa ukawa hivyo kura za lowassa zitahesabiwa mbele ya wakala mmoja tu wa chadema
 
Naօʍɮa ʍռɨtaʝɨɛ աàɢօʍɮɛa ʊʀaɨs աa ʋʏaʍa ʋɨʄʊataʋʏօ:
CUF
NCCR Maɢɛʊʐɨ
NLD
 
Umoja wa katiba ya wananchi (ukawa) wamekubaliana kura za mgombea uraisi kulindwa na mawakala watano.

Mawakala wanne ni kutoka vyama vinayounda ukawa - nld, nccr, cuf na chadema.
Na wakala mwingine ni wa chama kina cho support lowasa ; tlp kupitia maxmilian lyimo; ambaye kwa sasa katangaza kumuunga mkono ; ndugu edward lowasa.

Huu ni mkakati wa kuongeza tija na kuthibiti; watu waitacho bao la mkono.

Na hii ni pigo kwa ccm kwa formation ya 4 (striker) against 1 (defender); hii ni kufutilia mbali kross na kona ili wasipate bao la mkono; hii inaitwa tit making

hii ni faida kwani nec aitambui ukawa; inatambuwa mgombea chadema; hawa mawakala wanaingia kwa mwavuli wa ukawa.

Kwahiyo zile ndoto za duni za vituo 20,000; za vutwa ghafla.
View attachment 296796

Sheria ni mgombea wakala mmoja kwa kila mgombea sasa ukawa wamesimamisha mgombea mmoja so atakuwepo huyo mmojaa tu.
 
Back
Top Bottom