Kumbe kwa siku moja wasipoingia wanalipwa 450,000/= kudadadeki!
Kama bunge lilikuwa linawalpa laki3 kwa siku na wanaoga matusi ya interahamwe, sio mbaya kama kapatkana mfadhili wa kuwalpa zaidi so nachowashauri wapge mikutano nchi nzima kueneza sumu ya Ccm.
na wewe unalipwa buku 7 kila unapopost pumba hapa jamvini pole sana kasuku uzuri watanzania washajua jinsi ya kuchambua nafaka na pumba
Kumbe kwa siku moja wasipoingia wanalipwa 450,000/= kudadadeki!
Toka mwanzo tulishasema kuwa UKAWA wamelipwa ili wavuruge mchakato wa Katiba! ila kwa kuwa mbinu zao ovu zimeshajulikana, hawatafanikiwa daima!
Na je wale wanaoingia, wanalipwa kwa shughuli gani? Wakati UKAWA wako nje wakitoa elimu, humo ndani kuna watu wanaendelea kulipwa wakitetea ujinga.. Ghosryder, kama elimu ni ghali, jaribu ujinga.