Ukweli unaumaee! Eid Mubarak!
i think this can be the first and the last foolish posting comment!!think critically, have a source of your information +crosscheck the information you have received;EID MUBARAK!
Kumbe kwa siku moja wasipoingia wanalipwa 450,000/= kudadadeki!
Ha ha ha ha ha! Tumewabaini mnakula cha juu!
Sasa hiyo ndio sababu ya wao kutoingia au? Hapo mjinga nani sasa, ni mlipaji au mtoa mada? Hebu lete mada zenye kichwa na miguu sio uzushi wa kibaraka mwenzako Paul Makonda mganga njaa asiyejua atashika tawi gani awamu ijayo.
Kumbe kwa siku moja wasipoingia wanalipwa 450,000/= kudadadeki!
Kumbe kwa siku moja wasipoingia wanalipwa 450,000/= kudadadeki!
Fungukeni nyie misukule, chagadema ni mradi wa mtu.
Acha upimbi wewe! Umevurugwa.Kumbe kwa siku moja wasipoingia wanalipwa 450,000/= kudadadeki!
Huu ni upimbi kama siyo Uzembwelasisi na hao unaowasema ndio tunaounda chadema