kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,931
- 7,828
Si wale ankal wa kina yakhe.. wale wanaotaka tanganyika irudi ili zenji yao irudi!!Eleza vizuri ueleweke wanalipwa na nani? Je huyo anaowalipa anafaidika nini na katiba ya sasa?

Kumbe kwa siku moja wasipoingia wanalipwa 450,000/= kudadadeki!

Na je wale wanaoingia, wanalipwa kwa shughuli gani? Wakati UKAWA wako nje wakitoa elimu, humo ndani kuna watu wanaendelea kulipwa wakitetea ujinga.. Ghosryder, kama elimu ni ghali, jaribu ujinga.Kumbe kwa siku moja wasipoingia wanalipwa 450,000/= kudadadeki!
Kumbe kwa siku moja wasipoingia wanalipwa 450,000/= kudadadeki!
Wakupima wewe sio mzima!! wanalipwa na mama yako..

wauze nchi gani? Wakati ishauzwa na maccm?Ukawa wanaumwa pakubwa sana wako tayari kuuza nchi kwa kulipwa pesa na mataifa ya nje wehu kabisa.
Kadri muda unavosogea,maccm yanakosa mbinu ya kuwashawishi ukawa(sauti ya watanzania)
ndio maana jana taisoni kazomewa sana pale itv