UKAWA kusambaratika Kesho

UKAWA kusambaratika Kesho

asikudanganye mtu mahakama ya kadhi haitawekwa kuna mmamtu majinga huku bado yanashabikia ccm lakini ukiyaambia mahakama ya kiislam hayakubari yanasema itareta vita huku bara wakristo ni karibu 80% huwa hawataki kabisa kusikia uwislam
 
alafu we simiyu kama kweli wewe unatokea bariadi au maswa basi unajua jinsi huku usukumani jinsi uwislam usivyotakiwa kabisa na pia wewe utakuwa ni mwarabu maana hakuna msukuma mwislam zaidi ya wale wachache waliosilimishwa na waarabu
 
Maana ya ukawa ni nini? Ni umoja wa katiba ya wananchi. Sasa umoja huu utasambaratika vipi kwa masuala ambayo yanaingizwa kwenye katiba kinyemela na CCM bila kushirikisha wananchi? CCM Ndio itasambaratika kwanza kwani wananchi wanajua Kwamba nchi yetu ilikuwa ni secular kwa miaka 50, kwa maana ya Kwamba haikuwa ikiongozwa kwa itikadi yoyote ya kidini. Cha kushangaza ni Kwamba baada ya CCM Kujenga sana hoja Kwamba kuna vyama vinajenga udini, hatimaye CCM imeamua kusimika suala Hilo Rasmi Liwe kwa Mujibu wa katiba. Hii itakuwa ni moja ya sababu kubwa ya katiba mpya kufeli kwenye kura ya maoni, hivyo to mark the beginning of the end of ccm's dynasty.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jazba zimmepanda hata unachoongea hukijui.una umri gani?

nyie nao waarabu mtakuwa wanafki maana maamuzi yote ya kesi za kiislam ni kufuta sharia sasa iyo sharia ihukumu mirathi 2 na zile za kukata mikono si mzifute?
 
binafsi sitamsahau BABA RIZ maishani mwangu kwa usanii aliotuletea. simlaumu yeye bali waliomchagua atuendeshee serikali ndio waliofanya makosa makubwa.

ni rahc sana mtu aliye masikini wa fikira na mali kufanya ujinga wwt kwa kujua au kutokujua inawezekana walio mchagua ndo type hyo
 
kule watu wanapochinjwa kwa kosa la kubadili dini kukatwa mikono na kupondwa mawe hizo adhabu husomwa kutoka kwenye quran na hutolewa na mahakama za kiislam sasa sio rahisi kumshawishi msukuma eti hayo hayatafanyika ingawa mimi najua hayata fanyika
 
yaani ni bora kikwete angekua mkristo alafu akaleta mahakama ya kadhi wakristo wenzake wasingejari sana maana wangekua wanamwamini ni mwenzao lakini hivi ilivyo hawata kubari wanawezazania kaamua kutumia cheo chake kueneza uwislam
 
Maana ya ukawa ni nini? Ni umoja wa katiba ya wananchi. Sasa umoja huu utasambaratika vipi kwa masuala ambayo yanaingizwa kwenye katiba kinyemela na CCM bila kushirikisha wananchi? CCM Ndio itasambaratika kwanza kwani wananchi wanajua Kwamba nchi yetu ilikuwa ni secular kwa miaka 50, kwa maana ya Kwamba haikuwa ikiongozwa kwa itikadi yoyote ya kidini. Cha kushangaza ni Kwamba baada ya CCM Kujenga sana hoja Kwamba kuna vyama vinajenga udini, hatimaye CCM imeamua kusimika suala Hilo Rasmi Liwe kwa Mujibu wa katiba. Hii itakuwa ni moja ya sababu kubwa ya katiba mpya kufeli kwenye kura ya maoni, hivyo to mark the beginning of the end of ccm's dynasty.

Sent from my iPhone using JamiiForums
........hiv kwenye chama changu hakuna hata wazee wawli watatu hivi waliobaki na hekima na busara zao za kutushauri mpaka tunawasikiliza Wasira na Lukuvi? huku kote ni kuwabembeleza wazanzibari tu? ....nimeamini lengo letu Dodoma ni posho, hapa hamna katiba, sana sana tusubiri mabadiliko ya 15 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano (Tanganyika) kuhusu Tume ya Uchaguzi, Mahakama na mgombea binafsi
 
Wakiweka mahakama yakiislamu tutaweka mahakama yawakristo. Muislam akinishtaki msikitini mimi nitasubiri kuhukumiwa kanisani hataniona msikitini ng'o.

Kadhi courts itawahusu waislamu tuu, na pia kwa maridha ya mashtakiwa. Haitawahukumu wasio waislamu. Na itakuwa inHusiana zaidi na mambo ya mirathi ndoa na talaka. Mtu wa Dini nyingine hatuhusika.
 
Kwa muislam mwenye akili lazma hataunga mkono hoja.....hapa ccm inajidhihilisha waz kuwa inatumia kivuli cha udini kufanikisha mambo yao....huyo JK, wassira, lukuvi na ccm kwa ujumla ndo hao hao waliokuwa wakipinga mahakama ya kadhi wakati wa ukusanywaji wa maoni ya rasimu...na ndio hao hao waliokuwa wanasema chadema ni chama cha kikristo, pia ndio hao hao waliosema cuf ni chama cha waislam...leo hii chadema, cuf nccr wameungana....wanakuja na style mpya ya kuchota kundi moja la dini kwa kivuli cha mahakama ya kadhi......KINACHO ONEKANA HAPA NI KUWA CCM WANATAKA KUWATUMIA WAISLAM ILI KUTEKELEZA MAMBO YAO KIURAHISI ZAIDI ILA sio kweli kuwa ccm kama inathamini sana maoni ya waislam but inataka kuwatumia...SO Waislam wenzangu hili sio jambo la kushabikia sana na kuhisi labda ccm inapenda sana maoni ya waislam, hawajamaa wanatutumia tu
 
........hiv kwenye chama changu hakuna hata wazee wawli watatu hivi waliobaki na hekima na busara zao za kutushauri mpaka tunawasikiliza Wasira na Lukuvi? huku kote ni kuwabembeleza wazanzibari tu? ....nimeamini lengo letu Dodoma ni posho, hapa hamna katiba, sana sana tusubiri mabadiliko ya 15 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano (Tanganyika) kuhusu Tume ya Uchaguzi, Mahakama na mgombea binafsi

Mtandao 2005 uliharibu yote hayo, na kwa Bahati Mbaya au nzuri kutegemea upo upande upi wa hoja, mtandao nao umeharibikiwa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kadhi courts itawahusu waislamu tuu, na pia kwa maridha ya mashtakiwa. Haitawahukumu wasio waislamu. Na itakuwa inHusiana zaidi na mambo ya mirathi ndoa na talaka. Mtu wa Dini nyingine hatuhusika.

So kama inahusu waislam tu sio sahihi kuwepo kwenye katiba maana hii sio katiba la kundi flan la dini
 
Kadhi courts itawahusu waislamu tuu, na pia kwa maridha ya mashtakiwa. Haitawahukumu wasio waislamu. Na itakuwa inHusiana zaidi na mambo ya mirathi ndoa na talaka. Mtu wa Dini nyingine hatuhusika.

Mkuu Mimi nafahamu kila kitu tatizo sio kuanzisha mahakama bali tatizo ni kwamba waislam wanataka mahakama igaramiwe na pesa za walipa kodi. Waislam wanataka mahakama ya kaadhi iwekwe kwenye bajeti ya serikali.
 
Hivi chama cha ukawa bado kipo tu? Teh teh teh teh watu wana njaa na Urais hadi basi

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Ni kweli Dhamira ya mahakama ya KADHI ni UTENGANO?au kuthaminika na kutambulika kwa jamii fulani na taratibu zao? kama wewe unajithamini ziheshimu imani za wengine kama huyajui si ujinga kuuliza usimpake mwenzio matope wakati wewe umetapakaa kinyesi
 
mkuu mimi nafahamu kila kitu tatizo sio kuanzisha mahakama bali tatizo ni kwamba waislam wanataka mahakama igaramiwe na pesa za walipa kodi. Waislam wanataka mahakama ya kaadhi iwekwe kwenye bajeti ya serikali.
kwani waislamu hawalipi kodi?
 
Kitaeleweka tu,bilal walimnyang'anya nafasi ya urais zanzibar,kwa hali hiyo wapo wafuasi wake wanajiandaa na ifahamike kuwa tabgu apewe mamlaka ya makamu ni wapi alipoandamana na rais kwenye mikutano?, ni lini alisimama kuzungumza juu ya muungano na muundo wake?
Hapa wazanzibar wanasiri nzito tusubiri tu,mleta hoja hafanyi tafiti yeye anawsza UKAWA kusambaratika kisa ccm wameamua kuchomeka nafasi ya rais wa zanzibar na mahakama ya kadhi wanayoidai waislam.katiba hii haitachukua mwaja kutiwa kiraka/ kukataliwa kabla ya kutumika, itaingiza tsifs kubaya
 
Leo ni tarehe 22 Agosti, mtoa "maada" alileta hii "maada" yake tarehe 20 Agosti (kesho yake ilikuwa Jana tarehe 21 Agosti - ironically siku ambayo UKAWA wameungwa mkono na wabunge kadhaa wa ccm), kwa hiyo UKAWA inasambaratika kesho ipi?
 
Sasa mahakama hii itasambaratisha vp ukawa ebu funguka
 
Back
Top Bottom