duet
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 534
- 149
Wakiweka mahakama yakiislamu tutaweka mahakama yawakristo. Muislam akinishtaki msikitini mimi nitasubiri kuhukumiwa kanisani hataniona msikitini ng'o.
Wapagani tutabaki na mahakama ya nchi.
Wakiweka mahakama yakiislamu tutaweka mahakama yawakristo. Muislam akinishtaki msikitini mimi nitasubiri kuhukumiwa kanisani hataniona msikitini ng'o.
Tumia akili na ww... Kadhi ikipitishwa na dini zingine zitahitaji zipiyishe za kwao.. Haotatosha na madai mengine yatakuja. Hapo ndo myifuano utakapoanza.... Kama ni mirathi na ndoa hadi sasa hakuna anayewazuia kuzisolve kwa sheria zenu.. Ila nyie mnataka kwenda mbali zaidi.. Kuweka katika katiba ya wananchi huku mkisahau kuwa katiba ile inahusisha wakristo na waislam.. Hivyo kuweka jambo mahsus la dini moja pekee ni kuleta mparaganyiko na sintofahamu.. Tumia akili...
KWANZA HAMNA UTASHI WA KUSOLVE MATATIZO YA NDOA NA MIRATHI NA SIDHANI KAMA MMEWAHI KUFANIKISHA KUSOLVE HT MGOGORO MMOJA WA MIRATHI NA NDOA
NA NDYO MANA KESI ZENU NYINGI WENGI WANAENDA KUTAFUTA HAKI KTK MAHAKAMA ZA JAMHURI.....
LABDA TUSEME NJAA TU ZA VIONGOZ WENU NDO MANA WANATAKA HZO MAHAKAMA ZA KADHI ILIHALI WAKIJUA KUWA HAWATAWEZA KUSOLVE MIGOGORO YOYOTE
Suala hili halitasambaratisha ukawa tu bali taifa zima litagawanyika vipandevipande, hapo kuna wakristo upande mmoja na waislamu upande wa pili, pia wako wasio na dini. Hapo hakuna ccm wala ukawa. Jk mpaka kufikia mwakani atakuwa amelijeruhi vibaya sana taifa hili.
Ukawa majuha kweli.
Ukawa majuha kweli.
Kardinal Pengo toa tamko mapema baba kabla mambo hayajaenda mbele zaidi!
Katiba ya Joseph Sinde Warioba, Joseph Butiku na John Kabudi, ili amua kwa makusudi kudharau maoni ya wa Waislamu walio wengi katika nchi hii Pamoja na Maoni ya Taasisi Zote za Kiisalamu juu ya Mahakama Ya Kadhi, na kuweka mawazo yao. Kinachotokea ni Laana kwa kazi waliyoifanya. Mambo yapo hadharani, kila mwenye kufikiria kwa akili yake mwenyewe anashuhudia.
Wapagani tutabaki na mahakama ya nchi.
Jazba zimmepanda hata unachoongea hukijui.una umri gani?
Ninamiaka 99 na nawasiliana na makahaba waweke mahakama yao kwenye katiba. Pia majambazi waweke mahakama yao. Machinga waweke mahakama zao. Itakuwa poa sana kwakuwa waislamu wamezarau mahakama zilizopo basi ni bora kila kundi katika jamii yakitanzania wawe na mahakama yao ili kutetea mirathi na ndoa. Au waislamu pekee ndo wanahitaji haki ya mirathi na ndoa? Kwani jamii zingine hawaoani au hawafi nakuacha mirathi?
Ukawa majuha kweli.
Kwani ibada wanafanya waislam tu? Mbona hata shetani anaibada zake. Hivi kila takataka ikiwekwa kwenye katiba itabebeka kweli. Kama mahakama yakadhi ni ibada si mujenge tu kama munavyojenga misikiti!!! au kujenga misikiti pia munaweka kwenye katiba. Hivi kuna mtu aliwazuia kujenga mahakama yakadhi. Serikali haijazuia tatizo lenu munataka hiyo mahakama ijengwe kwa pesa za walipa kodi ndo maana serikali inawatolea nje.Ish!!! mimi huwa nakuona una hoja kumbe hakuna kitu,,,,, mahkama ya kadhi ni ibada,, hatuwezi kuhukumiwa na mahakama za kitwahut.... hasa katika maswala ya mirathi,, uislam ni dini yenye mfumo sahihi na ulio wazi,, ndo maana tuna banks zenye mfumo wa islamic banking.. na unafanya kazi vyema na hata huko kwa wakubwaa wenu wanaukubali:angry:
Mahakama ya kadhi ndo inaipatia ushindi CCM , maana waislam wote kwa CCM na CUF kwa CCM na wale wakristu amabao ni CCM watabaki kuuga msimamo wa chama maana kwao chama kwanza... akina mimi kule bush wao CCM tu baaas.. lablda Kilimanjaro , Mbeya na Rukwa otherwise mikoa kama Dar, Mtwra, Lindi, ZNZ, Tanga, Morogoro, Tabora, Mwanza, na mingine imekula kwenu.........
Safi jk, drshen, dr ghari, mbembe, jonimaleche, rasisi hili ndo tulikuwa tubalitaka. Kama muingereza anamkata shingo mmarekani huko irak kwa nini six asiharibu kwa vile anaona naye kakosa