UKAWA kusambaratika Kesho

UKAWA kusambaratika Kesho

[h=2]
icon1.png
UKAWA kusambaratika Kesho[/h] 20th August 2014 21:39





Ndugu zangu wana jf, hatimaye nyundo ya kuwasambaratisha UKAWA imechongwa.nayo ni kuingiza suala la KADHI kwenye katiba mpya. Ukawa mlikuwa na plan b? Kazi kwenu



Wengine bado tunasubiri leo siku ya Pili hivyo!
 
Hiyo Kesho haifiki?
Kesho maana yake imminent ... yaani muda si mrefu ... ni lugha ya fasihi tu ndugu yangu,hata hivyo ijulikane kuwa si matamanio yangu bali hofu yangu....
 
kwa sababu tz ni ya wakristo

Ni ya dini zote na wasiokuwa na dini na serikali imetoa uhuru kila raia kuabudu anachoamini yeye sasa kwanini waislam munadeka sana? Hivi hamuezi kuabudu hadi iandikwe kwenye katiba, kwani katiba ni yawaislam pekee? Tanzania sote ni ndugu moja tofauti hizi zililetwa na wakoloni jitambue ndugu Shemeji yangu.
 
Kesho maana yake imminent ... yaani muda si mrefu ... ni lugha ya fasihi tu ndugu yangu,hata hivyo ijulikane kuwa si matamanio yangu bali hofu yangu....

Unaongea kinyume wewe, sema sentensi ilonyoka ya kuwa wasofiki waanza kusambaratika ktk Bunge la Kula-Dodoma.
 
...SWAFI SANA NAONA KILIO CHETU ALAH AMEKISIKIA;CCM, UDP NA 201 OYEEEEEEEEEEEE......!!
:coffee:
 

Wengine bado tunasubiri leo siku ya Pili hivyo!

Yaaani Kiongozi MP Kalix kuna mijitu mi huwa naiitaga mijitu inakaa na kuiombea nchi yetu mabaya....Hawa watu wa namna hii ni makaburu tu
 
Last edited by a moderator:

Wengine bado tunasubiri leo siku ya Pili hivyo!

Yaaani Kiongozi Mp Kalix2; kuna mijitu mi huwa naiitaga mijitu inakaa na kuiombea nchi yetu mabaya....Hawa watu wa namna hii ni makaburu tu
 
Last edited by a moderator:
Swala la mahakama ya kadh ni swala la msingi kwenye katiba mpya tumelizungumzia sana wala haliusiani na udini msifanye mambo yaonekane makubwa wakati madogo hayo ni maoni ya watu tumetoa na tuna haki ya kutoa maoni yetu kwenye katiba hata wewe kama unamaoni ungetoa sio upinge maoni ya watu walio toa kuhusu mahakama ya kadh usiongee tu kama hujui tafuta maana ya mahakama hiyo inafaida gani ndio useme na ningeshauri kama hiyo mahakama haikuhusu basi kaa kimya usije kuleta uchochezi wa dini.

Wewe ndo mchochez wa dini, yan ccm inawatwist baadhi ya waislam like stones.....sasa hiv mnetajiwa mahakama ya kadhi bac mmelidhika na mchakato mzima wa katiba mpaka miskitini mshaanza kuipa shavu ccm.....juz juz to mlikwa mnaunga mkono serikali tatu, warioba mlimuona kama mtetez wenu, leo mmetajiwa kadhi mmehamia selikali 2 mambo mengi ya msingi saiv mshayasahau...CCM wakiweka mgombea mkristo 2015 mtaikimbia ccm mtaiona ni chama cha kanisa...........
 
Katiba ya Joseph Sinde Warioba, Joseph Butiku na John Kabudi, ili amua kwa makusudi kudharau maoni ya wa Waislamu walio wengi katika nchi hii Pamoja na Maoni ya Taasisi Zote za Kiisalamu juu ya Mahakama Ya Kadhi, na kuweka mawazo yao. Kinachotokea ni Laana kwa kazi waliyoifanya. Mambo yapo hadharani, kila mwenye kufikiria kwa akili yake mwenyewe anashuhudia.

We kweli mzimu....
 
Ish!!! mimi huwa nakuona una hoja kumbe hakuna kitu,,,,, mahkama ya kadhi ni ibada,, hatuwezi kuhukumiwa na mahakama za kitwahut.... hasa katika maswala ya mirathi,, uislam ni dini yenye mfumo sahihi na ulio wazi,, ndo maana tuna banks zenye mfumo wa islamic banking.. na unafanya kazi vyema na hata huko kwa wakubwaa wenu wanaukubali:angry:

Subirini mkifika kwa Allah wenu ndo muendelee na hizo ibada zenu.......lakini kwenye katiba ya wananchi wasiokuwa na mlengo wa itikadi za kidini sahau hilo
 
Wakiweka mahakama yakiislamu tutaweka mahakama yawakristo. Muislam akinishtaki msikitini mimi nitasubiri kuhukumiwa kanisani hataniona msikitini ng'o.

Ushitakiwe na mahakama ya kadhi we muislamu?
 
Ushitakiwe na mahakama ya kadhi we muislamu?

Aahh okey!! Kumbe kama mahakama ni yawaislam tu kwanini hiyo mahakama iwepo kwenye katiba ambayo sio yawaislam? Hiyo mahakama iwekeni kwenye katiba ya BAKWATA na Wasuni.
 
Mimi nasema hakuna cha kadhi wala udin yaani hao ccm wanahaha kutafuta njia ya kutokea na hakuna njia wamechemka na wakubali wameshasambaratika....
 
Back
Top Bottom