assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Ashakum si matusi,ukisusa wenzio wala, usipigane vita wakati umejifungia ndan unaongea tu toka nje unaumface mpinzani wako ana kwa ana.
Nakusudia nini? Kwa nature ya CCM kususa imewasaidia sana, angalia Zanzibar saivi Shein ni rais whether anakubalika au la is another issue angalia issue ya Katiba mpya pamoja na kususa ipo katiba ya ya upande mmoja inasubiriwa ipigiwe kura kwa ushahidi mwingi sana ukiwasusia CCM wanatumia ubabe kupitisha whatever they want na haijasaidia sana kuzuia CCM kwa kususa.
Sasa kwa maoni yangu Naibu Spika anamadhaifu mengi kama UKAWA walivosema, lakini wasingetoka au kutohudhuria akiwepo,bali kukomaa nae na kumpa vidonge vyake,ila pale anapozidi wazuie kikao kuendelea kwa kusimama au njia nyengine, akitenda haki wamsikilize akipotoka wamzuie kwa hoja na kanuni na ikibidi kuvunja kikao ukawa wakue wawe na strategy nyingi na sio strategy moja, kabla ya kutoa,tamko wazingatie pia athari na faida za kuchukua hatua fulani.
Ninawashauri UKAWA,ingawa binafsi siwapendi CCM lakini izi mbinu za UKAWA zifanyiwe review.Naamini ukawa ndio think tank ya nchi hii, sasa lazima wafikiri more than that,hoja ya kumkimbia adui si nzuri sana,bali pambana na adui kama unazidiwa unaweza hata kung'ata na meno lakini sio kukimbia.