Ukawa kuandamana nchi nzima

Ukawa kuandamana nchi nzima

Penye CHADEMA hapakosi maandamano!

Safari hii tunataka viongozi wa UKAWA wakae frontline.

Sio kutanguliza vijana kama chambo!

Waache waandamane maana wale jamaa wako 600 wanapiga maoni ya watu 17000 wasitufanye siye majuha
 
Mkuu Sumu nakuja mkuu na wala siogopi harakati ata siku moja ila kwa kua ndo yanaanza nyie anzeni. Struggle continue.
Mungu atutangulie?! Njoo na wewe ushiriki Mungu atutangulie wote.
 
Last edited by a moderator:
Niko tayari kuandamana na ikibidi hata kupigwa bomu na c.c.em,ili niifie katiba kama dk.mvungi.
 
Kuna watanzania makubwa jinga kweli yanapinga maoni ya watu 17000 halafu wanasherekea maoni ya watu 600
 
Out of content.
Mbowe alienda kuchukua hela mombasa mpaka gari lake likakamatwa alipewa hela za posho za siku 60 za wabunge wa ukawa cha kushangaza wanaendelea kuzila yeye lipumba na mbatia
 
Wakiitisha Maandamano na wewe uende, sio kuchochea wenzako huku JF wakavunje sheria.

Nitakuwa wa kwanza karibu na wewe MSALANI katiba ni zaidi ya vyama. Maandamano mkiyazuia mntakuwa mnaongeza hasira na hasara kwa chama cha magamba
 
Wakiitisha Maandamano na wewe uende, sio kuchochea wenzako huku JF wakavunje sheria.

Niko pia mimi naitwa james mwakitwange niko kaloleni karibu na safina radio ntashiriki vizuri sana sio kivunja sheria bali kudai katiba mpya... unakaribishwa mzee wa toilet..
 
Mimi ni polisi sijapiga watu siku nyingi jamani..... fanyenj fasta tangu nitoke kozi sijakutana na maandamano nipo fiti kuwakabili
 
wakiitisha maandamano na wewe uende, sio kuchochea wenzako huku jf wakavunje sheria.

mkuu mimi siyo mtoto wa fisadi ama muuza sembe kama wewe ulivyo,bali ni mtoto wa maskini ambaye tumaini langu ni katiba mpya yenye tunu za taifa.
 
Wasi2chafulie mazngira hapa, Kuna mambo mengi sana ya kutetea kwenye katiba, warud bungeni watetee mambo mengine then mabshano ya serikali Tatu ndo yafuate
 
Ukipiga raia nasi tutakutafuta mtaani labda uishi kituo cha police

Naishi kota za polisi .... sikai na raia na mdaa nakudunda nimevaa herement na miwani ya kuzuia machozi huwezi nijuaa ... naahidi kukuvunja kiuno hutazini tena tukutane kwenye maandamano
 
Back
Top Bottom