Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
mkuu na mama yako umeshamshawishi kuandamana?
Niulize tu, kwenye huo uzushi, SLAA ameingia kama nani?
mkuu katika michakato ya demokrasia hamuwezi always kuwa on the same page.
Na pale mnaposhindwa kukubaliana always kura ndo huwa muamzi wa mwisho.
Sasa inapotokea issue kama hii ukawa wanafanyaje kama kura haziwatoshi bungeni ku counter na kuwin dhidi ya wa ccm?.
Ukawa wanataka bunge lisitishwe,then WHAT?.
Kwamba tungojee mpaka uchaguzi upite.HALAFU?WHAT?.
Vipi kama baada ya uchaguzi bado ccm ikawa na majority bungeni na wakasimamia msimamo wao?.
Dr. Slaa ni Katibu wa UKAWA nje ya Bunge!
"Kuporomoka kwa Dr. Slaa kisiasa 2010-2015" By Yericko Nyerere
Wasio na kazi wataandamana.
Wavuta bangi wasio na kazi wataandamana.
Wajinga na wasiojielewa wataandamana.
Mbona Povu? Wenye uchungu na tanganyika tutaandamana.
mpumbavu ww tena huna akili ku la ma ma a k o yaani ww ndio hewa yan kweli
mwana mbwa ww ulitegemea na mm ni shabikie huo usenge eti ww daa mbwa kabisa nishindwe kufanya kazi zangu nikaandamane nyoo Crashwise
Kama povu nenda kafulie, hivi Tanganyika uliwahi iona?
mhuuu da jamaa naona wana tapatapa wanatafuta kwa kufiaaa haya kwahelini ukawa
Bado wananchi watawapuuza tu.
Kama povu nenda kafulie, hivi Tanganyika uliwahi iona?
Si nyie meificha ndio maana tumeifichua sasa
sasa nadhani mwisho wa UKAWA unakaribia
Niulize tu, kwenye huo uzushi, SLAA ameingia kama nani?
akili kama ya lissu. hao laki 6 hawatoi maoni wanaandika katiba kwa niaba ya raia m 45. wengi ni wawakilishi wa kuchaguliwa na wananchi na hawakubali hoja yenu kwamba maoni ya wananchi ni serikali tatu.Kubishana na wewe mwenye itikadi ya ki ccm nikuwaonea Watanzania walio wengi zaidi ya watu 17 elfu waliotoa maoni na hao mia 6 wapi ni wengi? Ovyo kabisa!
wako wengi kwasababu wao ndo majority bungeni na utaratibu wa majority upo hata nchi zingine mfano israel kama huna viti vya kutosha huundi serikali.Nafikiri unajiuliza Maswali then Unajijibu, Kwanza upatikanaji wa wajumbe wa BMK ulikuwa na mizengwe mingi sana nafikiri unajiunea Lumumba walivyojaza Bunge