Unajua kuisoma picha? Ngoja nikusomee hiyo picha yako. Huyo wa chadema anaongea kwa hasira na kwa sauti akiwa ametulia mkono mfukoni kablasha kwapani. Huu utulivu japo kunamkono mbele unamaanisha muongeaji karidhika nao na amependa iwe hivyo. Na ndivyo ilivyo chadema wao walisema hawatakaa bungeni wakati NS akiwa kwenye kiti. Huko kutokusikika kwao ni kwasababu hawaongelei kwenye kisemeo. Waliokubali kiti wamepewa kisemeo na wamesikika.
Hivyo ndivyo picha yako inavyowasilisha ujumbe. Iwapo chadema wasingeamua kumsusia NS mchoraji angeweka visemeo viwili. Pia mchoraji asingechora chadema wakiwa watulivu namna ile.