UKAWA kitengo cha habari mmelala?

UKAWA kitengo cha habari mmelala?

Hawako active hata kidogo, mnajua kuwa Radio, TV na magazeti mengi nchi hii ambavyo ndio vyombo vya kufikishia habari ya nini kinaendelea haviko huru kwa woga au kwa kujipendekeza ili wapate matangazo ya biashara kuendeshea vyombo vyao.

Cha kushangaza matukio yao wanashindwa kuhakikisha waandishi wa vyombo vya nje waliopo hawashirikishwi. Vyombo kama CNN, BBC, ALJAZEERA, REUTERS, SABC nk hivyo matukio mengi hayafahamiki nje ya nchi na wao kudhani mambo ni poa sana kama ikivyokuwa zamani.

Hata hapa ndani, mumeshindwa kuandaa vipindi hata vya kulipia katika TV venye maudhui ya kujitangaza dhamira na nini kinaendelea.

Wakati umefika muamke ili msije kuwalaza na wengine au ongezeni nguvu vitengo vyenu vya habari. Na kila tukio hakikisheni mnawawezesha waandishi wa vyonbo vya nje wahudhurie sio kuwajaza wa Uhuru ambao mnajua badala ya kujenga wataleta damage
Cc:chadema kwanza
Cc:Tumaini makene
 
Hawajaziba bali wamezibwa. Na wote tunajua hilo
1466594483358.jpg
 
Wanajua uovu wao kwa jamii zaidi ya wanaopoteza muda mitandaoni kutetea waovu.

nadhani wako sawa. Maana zamani walikuwa na jeuri ya kutetea uzushi juu ya viongozi wa chama.
Wewe tusha kuzoea kwa kuvuma kama upepo maana huna msimamo
 
Hawako active hata kidogo, mnajua kuwa Radio, TV na magazeti mengi nchi hii ambavyo ndio vyombo vya kufikishia habari ya nini kinaendelea haviko huru kwa woga au kwa kujipendekeza ili wapate matangazo ya biashara kuendeshea vyombo vyao.

Cha kushangaza matukio yao wanashindwa kuhakikisha waandishi wa vyombo vya nje waliopo hawashirikishwi. Vyombo kama CNN, BBC, ALJAZEERA, REUTERS, SABC nk hivyo matukio mengi hayafahamiki nje ya nchi na wao kudhani mambo ni poa sana kama ikivyokuwa zamani.

Hata hapa ndani, mumeshindwa kuandaa vipindi hata vya kulipia katika TV venye maudhui ya kujitangaza dhamira na nini kinaendelea.

Wakati umefika muamke ili msije kuwalaza na wengine au ongezeni nguvu vitengo vyenu vya habari. Na kila tukio hakikisheni mnawawezesha waandishi wa vyonbo vya nje wahudhurie sio kuwajaza wa Uhuru ambao mnajua badala ya kujenga wataleta damage
Waandike matukio gani sasa! Ya kudai div 0 na IV wapate digrii or?
 
..kuna mdau alitoa hili wazo humu,watu wa cdm wakaja kwa mbwembwe kuwa mipango iko,labda tuendelee kusubiri itakuja

Nakumbuka sana many conglatulated cdm for that idea. Sijui ilifia wapi. Ikiibidi wafanye ziara kama ya maalim. Kuzunguka dunia excluding Africa, China and Russia
 
Hongera kwa kuona kuwa kitengo cha habari kimelala, ila uhalisia ni kua UKAWA nzima imelala usingizi wa pono, nchi haina wapinzani kabisa, ina kikundi cha walalamishi tu.
 
Hawako active hata kidogo, mnajua kuwa Radio, TV na magazeti mengi nchi hii ambavyo ndio vyombo vya kufikishia habari ya nini kinaendelea haviko huru kwa woga au kwa kujipendekeza ili wapate matangazo ya biashara kuendeshea vyombo vyao.

Cha kushangaza matukio yao wanashindwa kuhakikisha waandishi wa vyombo vya nje waliopo hawashirikishwi. Vyombo kama CNN, BBC, ALJAZEERA, REUTERS, SABC nk hivyo matukio mengi hayafahamiki nje ya nchi na wao kudhani mambo ni poa sana kama ikivyokuwa zamani.

Hata hapa ndani, mumeshindwa kuandaa vipindi hata vya kulipia katika TV venye maudhui ya kujitangaza dhamira na nini kinaendelea.

Wakati umefika muamke ili msije kuwalaza na wengine au ongezeni nguvu vitengo vyenu vya habari. Na kila tukio hakikisheni mnawawezesha waandishi wa vyonbo vya nje wahudhurie sio kuwajaza wa Uhuru ambao mnajua badala ya kujenga wataleta damage
Hiki kitengo mafuriko yalipoisha na chenyewe kikatoweka.
 
Nakubaliana kwa 100% na Prof Kitila Mkumbo. Kwa bahati hili nililiona siku nyingi. Kuna shida kubwa mahali.

Unfortunately there is no shortcut, no any other option zaidi ya blocks zote zinazohusika kubadilika objectively and strategically in the way they conduct their business. Short of that, huko mbele kuna giza nene as a country.
 
Nakumbuka sana many conglatulated cdm for that idea. Sijui ilifia wapi. Ikiibidi wafanye ziara kama ya maalim. Kuzunguka dunia excluding Africa, China and Russia
...hawa jamaa wameshindwa hata kuendeleza ile apps yao..hawana accounts ya uhakika ktk social media ambayo kwa bongo inakua sana,hawana hata Youtube Channel kwa ajiri ya kupandisha clip zao,ila TUSUBIRI
 
Mwenye uwezo wa kuongea nao awashauri . Kama alivyosema kitila Luna haja ya mbinu mpya this era
 
Unaitaja UKAWA ipi ya Tz ambayo imeziba midomo yake? Wataongeaje na media wakati arobaini ya kutolewa nyizi midomo yao haijafika? Au unaongea na UKAWA Wanaojiona wanyonge na kuona wanadharirishwa na naibu spika mwanamke? Ni wale wasiotofautisha usiku na mchana? Ongea nao labda wewe watakusikiliza mjomba!
9966821196ce39f8faf6f156b1690665.jpg

Huu ni ukweli mchungu...but ukweli humuweka mtu huru.
 
Waandike matukio gani sasa! Ya kudai div 0 na IV wapate digrii or?

Hilo limetokea wapi? Ni ujinga kutokujua tofauti ya kujali utu wa watoto wale na viwango vya elimu zao. Kwa hiyo aliyefeli na kudahiliwa na serikali anapaswa kuwa treated kama mbwa? Kama huwezi kuwatetea watoto wa taifa hili wanaponyanyaswa huna sifa ya kuitwa mtu zaidi ya mbwa koko ambaye hamjui mmiliki wake.
 
Kwa vile sisi sio ccm, hatuna mambo ya huyu ni mwenzetu katika kutotimiza wajibu.
Tunahitaji majibu tujue nini ni tatizo, maana kama ni manpower mbona hata wa kujitolea wapo? Jee ni funds? Zitapatikana miongoni mwetu. Wapinzani sio masikini wa kipato, wengi ni watu wenye shughuli zao na hawakuzoea kukinga mkono kupokea kama hawa Vijana wa Lumumba
Tatizo hoja za kupeleka kwa wananchi hamna. Mbona humu JF mmejaa tele na mnalindwa kiasi cha kutukana watu kuchafua watu na hairuhusiwi kujibiwa kwa matusi. Uchaguzi wa mwaka jana ulibeba hoja zenu zote na nyie kubaki mnazunguusha mikono na vichwa sasa mmebaki makapi.
Hata wakikuruhusu kupeleka utumbo wenu BBC DW na CNN utapeleka nini? Utamnukuu kubenea kuwa chadema wagoma kutoa penzi kwa ccm. Au utasema tumemgomea NS na sasa hataki kuachia wenyeviti.
 
ImageUploadedByJamiiForums1466600621.727267.jpg
 
Back
Top Bottom