Wanachama,wafuasi,mashabiki,wafurukutwa na washangiliaji wa UKAWA mnapaswa kuwa pamoja muda huu. UKAWA uko kwenye mapambano makali na aombeeni viongozi wenu;watieni nguvu na kuwafariji. Muwatetee wanapodhihakiwa kwakuwa mapambano ambayo wanayo kuelekea Uchaguzi Mkuu ni magumu mno.Wanapita kwenye tanuru la moto. Waombeeni tafadhali.
UKAWA ukifika salama uchaguzini,mshukuruni Mungu. Viongozi wenu wanapigana kufa na kupona kuulinda Umoja wenu. Viongozi wenu wanashawishiwa na kutishiwa. Wanabezwa na kutwezwa. Wanapambana kweli kweli.
Tuliopo sentimita chache ya jiko la mikakati tunajionea. Wanavutwa mashati kwa masharti lakini wanasonga mbele hata yanapochanwa. Wako nanyi wakiwatetea, wakiwaunganisha
Kila la kheri UKAWA, komaeni tukutane Oktoba 25!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
CCM ina mbinu na maarifa ya kushinda uchaguzi
Mkuu pesa ni sabuni ya roho, amerubuniwa na akarubunika
Wanachama,wafuasi,mashabiki,wafurukutwa na washangiliaji wa UKAWA mnapaswa kuwa pamoja muda huu. UKAWA uko kwenye mapambano makali na aombeeni viongozi wenu;watieni nguvu na kuwafariji. Muwatetee wanapodhihakiwa kwakuwa mapambano ambayo wanayo kuelekea Uchaguzi Mkuu ni magumu mno.Wanapita kwenye tanuru la moto. Waombeeni tafadhali.
UKAWA ukifika salama uchaguzini,mshukuruni Mungu. Viongozi wenu wanapigana kufa na kupona kuulinda Umoja wenu. Viongozi wenu wanashawishiwa na kutishiwa. Wanabezwa na kutwezwa. Wanapambana kweli kweli.
Tuliopo sentimita chache ya jiko la mikakati tunajionea. Wanavutwa mashati kwa masharti lakini wanasonga mbele hata yanapochanwa. Wako nanyi wakiwatetea, wakiwaunganisha
Kila la kheri UKAWA, komaeni tukutane Oktoba 25!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kama DJ naye akivyorubuniwa akarubunika. Chezea 10 bn wewe!!
Lipumba ameondoka na kura za Waislamu.
Nyie vijana acheni kujificha kivulini kwenu. Mimi ni ukawa damu lakini sikukubaliana na upuuzi uliofanywa na viongozi wa ukawa wakiongozwa na Mbowe. Mimi nilichukua dhamana ya kuwaanfikia Lisu , Dr. Slaa, Heche na Mnyika lakini wote hawakunijibu nikiwauliza kama wako serious na wanaendelea na Ngoyai. Kama kawaida Lissu akaibuka kwenye media na sauti ya ukakamavu tunamkubali na Lowasa ndo atakuwa mgombea. Kisingizio eti tafiti za poll stars nyingi hali akijua juzi take tu alipinga ujio huo. Sijui hizi poll stars zilikuwa hazijaleta majibu? Hapa namkumbuka Prof. Kabudi MTU mjinga husikiliza lakini mpumbavu hushupaa. Mmeshupaa na Dr. Slaa na matusi mengi kwa Josephine leo ni Prof. Lipumba kesho itakuwa Lema. Najiuliza nyie ndo wale wa ukawa au wazanaki?Tupatupa, Luba ni.mdudu mbaya sana hasa akikung'ata maana anang'ang'ania mwilini. Kwa vile ni lazima umtoe utamtoa tuu, ila huwa sio shughuli ndogo lazima atatoka kwa kukuachia maumivu makali,damu lazima itoke na jereha lazima akuachie.
Luba huyu (ccm) lazima atoke ila ni wazi ataacha majeraha mwilini na rohoni pamoja na damu kutoka kwenye jeraha. Tusipokubali hayo Luba hatoki mwilini.
Nadhani mwaka huu tuko tayari na viongozi wa kweli wako tayari kuliko wakati wowote ule
La msingi mwambieni Mbowe abadili tena via hewani kabla mda haujawaweka kando. Naangalia majibishano ya Lissu na Kitila, Kitilia anasifia ujio was Lowasa kama utaongeza upinzani unajiuliza na Huyu? Leo ZZK ashaitumia kama nyundo akihutubia watu wwa Gungu Kigoma na Mpanda. Hamugundui tu. Ama kweli team, friends of Lowasa wamewapindua wanazi was CDM na ukawa amebaki Mwanakijiji tuNyie vijana acheni kujificha kivulini kwenu. Mimi ni ukawa damu lakini sikukubaliana na upuuzi uliofanywa na viongozi wa ukawa wakiongozwa na Mbowe. Mimi nilichukua dhamana ya kuwaanfikia Lisu , Dr. Slaa, Heche na Mnyika lakini wote hawakunijibu nikiwauliza kama wako serious na wanaendelea na Ngoyai. Kama kawaida Lissu akaibuka kwenye media na sauti ya ukakamavu tunamkubali na Lowasa ndo atakuwa mgombea. Kisingizio eti tafiti za poll stars nyingi hali akijua juzi take tu alipinga ujio huo. Sijui hizi poll stars zilikuwa hazijaleta majibu? Hapa namkumbuka Prof. Kabudi MTU mjinga husikiliza lakini mpumbavu hushupaa. Mmeshupaa na Dr. Slaa na matusi mengi kwa Josephine leo ni Prof. Lipumba kesho itakuwa Lema. Najiuliza nyie ndo wale wa ukawa au wazanaki?