UKAWA inahitaji maombi, mapambano ni makali mno

Mkuu limeshaingia Dubwana Lowassa hapo tena kuna nini? Kama ccm tu yenyewe kaimega itakuwa UKAWA wenye njaa ya pesa?
 
Kupigwa kwenye vita lazima litokee lakini hatuwezi kushindwa vita makamanda vita ni Kali na adui yetu anatumia kila mbinu kwa uwezo wa Mungu tutashinda
 
Kama ningekuwa na uwezo ningeuforward huu mwaka upite haraka tuendelee na maisha yetu maana rangi zote tumeshaziona, yaani Tunavurugwa mpaka basi...ILA WA SIASA SIWAAMINI TENA[ kura yangu siri yangu]
 
Wanachama,wafuasi,mashabiki,wafurukutwa na washangiliaji wa UKAWA mnapaswa kuwa pamoja muda huu. UKAWA uko kwenye mapambano makali na aombeeni viongozi wenu;watieni nguvu na kuwafariji. Muwatetee wanapodhihakiwa kwakuwa mapambano ambayo wanayo kuelekea Uchaguzi Mkuu ni magumu mno.Wanapita kwenye tanuru la moto. Waombeeni tafadhali.

UKAWA ukifika salama uchaguzini,mshukuruni Mungu. Viongozi wenu wanapigana kufa na kupona kuulinda Umoja wenu. Viongozi wenu wanashawishiwa na kutishiwa. Wanabezwa na kutwezwa. Wanapambana kweli kweli.

Tuliopo sentimita chache ya jiko la mikakati tunajionea. Wanavutwa mashati kwa masharti lakini wanasonga mbele hata yanapochanwa. Wako nanyi wakiwatetea, wakiwaunganisha

Kila la kheri UKAWA, komaeni tukutane Oktoba 25!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Barikiwa sana Mzee Tupatupa go through ya UKAWA ni msiba wa CCM hawawezi kubali kwa namna yoyote Ile.
 
Maombi nitaongeza naana naitaji ukawa ife na cdm izaliwe upya.
 
Wanachama,wafuasi,mashabiki,wafurukutwa na washangiliaji wa UKAWA mnapaswa kuwa pamoja muda huu. UKAWA uko kwenye mapambano makali na aombeeni viongozi wenu;watieni nguvu na kuwafariji. Muwatetee wanapodhihakiwa kwakuwa mapambano ambayo wanayo kuelekea Uchaguzi Mkuu ni magumu mno.Wanapita kwenye tanuru la moto. Waombeeni tafadhali.

UKAWA ukifika salama uchaguzini,mshukuruni Mungu. Viongozi wenu wanapigana kufa na kupona kuulinda Umoja wenu. Viongozi wenu wanashawishiwa na kutishiwa. Wanabezwa na kutwezwa. Wanapambana kweli kweli.

Tuliopo sentimita chache ya jiko la mikakati tunajionea. Wanavutwa mashati kwa masharti lakini wanasonga mbele hata yanapochanwa. Wako nanyi wakiwatetea, wakiwaunganisha

Kila la kheri UKAWA, komaeni tukutane Oktoba 25!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Wadanganye tu ndugu zako....Mbowe alishaisaliti UKAWA siku nyingi...
 
Hapa kuna injini ndizo za kuendeleza ukawa kwa asilimia mia maalim seif, mbowe, slaa, na mbatia hawa niwakushikiliwa kwa kila namna, wasonge mbele
 
Wanachama,wafuasi,mashabiki,wafurukutwa na washangiliaji wa UKAWA mnapaswa kuwa pamoja muda huu. UKAWA uko kwenye mapambano makali na aombeeni viongozi wenu;watieni nguvu na kuwafariji. Muwatetee wanapodhihakiwa kwakuwa mapambano ambayo wanayo kuelekea Uchaguzi Mkuu ni magumu mno.Wanapita kwenye tanuru la moto. Waombeeni tafadhali.

UKAWA ukifika salama uchaguzini,mshukuruni Mungu. Viongozi wenu wanapigana kufa na kupona kuulinda Umoja wenu. Viongozi wenu wanashawishiwa na kutishiwa. Wanabezwa na kutwezwa. Wanapambana kweli kweli.

Tuliopo sentimita chache ya jiko la mikakati tunajionea. Wanavutwa mashati kwa masharti lakini wanasonga mbele hata yanapochanwa. Wako nanyi wakiwatetea, wakiwaunganisha

Kila la kheri UKAWA, komaeni tukutane Oktoba 25!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Hakika Mungu humwinua mnyonge hapa shetani atashindwa na atalegea na kuanzia leo wengine tutaingia kwenye maombi ya kufunga na kusali hili pepo litoke na liungue kabisa.
 
Kama kuna siku ya majonzi ni leo. Sikutegemea Prof. Lipumba ale n'gombe mzima lakini ashindwe kumalizia mkia!!

Kura ndio silaha nzito kuliko zote usife moyo tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.
 
UKAWA ni ulimwengu wa kufikirika.
 
Dhambi ya uroho wa madaraka, uroho wa hela, unafiki na usaliti itawamaliza UKAWA.

Labda mtubu mgeukie njia yenu ile ya kweli mliyoikana ndipo mtakuwa salama. la sivyo subirini mengi makubwa zaidi ya haya ya sasa
 
Yaani ni ngumu sana kuamini kweli haya mambo yanatokea. prof. Lipumba! Astagafulah
 
Dhambi ya uroho wa madaraka, uroho wa hela, unafiki na usaliti itawamaliza UKAWA.

Labda mtubu mgeukie njia yenu ile ya kweli mliyoikana ndipo mtakuwa salama. la sivyo subirini mengi makubwa zaidi ya haya ya sasa

Hakika nina hasira kali na MBOWE.
 
Kama kuna siku ya majonzi ni leo. Sikutegemea Prof. Lipumba ale n'gombe mzima lakini ashindwe kumalizia mkia!!

Its very true....they are happy of being wapinzani...for double payment...taking money from ruling part na vyama vyao.... sijui kwa nini watanzania...hii haitaji kuumiza ubongo...wapinzani si wapinzani....kama tunawakilisha mfumo wa kimataifa eti kuna multiparty system chini kwetu.....tuuma nyingi silisikika toka mwanzo kabla hata ya Lowassa kujoin kuwa cuf imepokea Bil 1 kujitoa ukawa au kuvuruga ukawa.... binafsi huwa nikiiiangaliaga sura ya Lipumba imekaaa mbili mbili yaani macho ayaonyeshi ukweli analolisema.... Bnafsi naamini upinzani hauko tayari na wanainjoi kubaki hivi.....kuwa wapinzani....kama wanajitoa watoke tujue moja tukapige kura ya NDIYO na Hapana sio wananchi wanapigwa mabomu kuumizwa kuteswa, kuwekwa kizuizini na kubambikiwa makosa kisa kupigania haki ya kura zao na kutetea upinzani kumbe viongozi walioaminiwa wana mbili mbili.....CCM inachofanya ni dhambi kubwa sana....nini uhakika pesa za umma zinatumika kuwanunua viongozi hawa....na pesa nying kweli kweli...!! Sioni tena mkweli..binafsi sitaki tena kusikia mambo ya siasa....tena wacha chama tawala wafanye yao...na watufanye watu wao....na kizazi chao kilichopo katika foleni ya uongozi nchi hii....vijana wa tanzania tutachungwa kama pundamilia wa mikumi hatuna kauli, atujatambui...no one think for the future of the country....CCM are very selfish...!!

Lipumbaaaaaaaaa 1995, 2000, 2005,2010 zote hizi yy ni candidate wa presidential post.....kila kipindi anavunja record yake ya kura kwa kushuka chini.....toka anaingia Ukawa alijua kwa nn anaingia na atatokaje......Poor Tanzania Poor youth of tanzania who real need a change......
 
Back
Top Bottom