UKAWA inahitaji maombi, mapambano ni makali mno

UKAWA inahitaji maombi, mapambano ni makali mno

Mi watu nawashangaa Sana!
Kujifanya wajuaji,wakosoaji,kunyooshea vidole wengine as if wao watakatifu!!
Nawakumbusha hivi...biblia inasema, Njia za Mungu hazichunguziki!

Akisema ndio,hakuna WA kubisha!
So wakati mnaongea,kumbukeni yupo Mungu, na hutumia vinyonge!!
 
Back
Top Bottom