GODLOVEME
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,644
- 498
Katibu Mkuu wa ACT Samson Mwigamba amekiri ujio wa Muungano wa UKAWA umevuruga malengo ya chama chake.
Mwigamba amesema lengo kubwa la chama chake ni kuwaunganisha wananchi na kuwaeleza ubovu wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Mwigamba amesema hata hivyo kwa sasa Chadema iko katika ushirika na vyama vya CUF na NCCR chini ya mwamvuli wa UKAWA.Ameendelea kudai kwamba imekuwa vigumu kueleza uovu wa Chadema wananchi wakaulewa kwa sababu imetokea wananchi wanaiamini UKAWA na hawataki useme chochote kuhusu mshirika wa umoja huo.
Mwigamba hata hivyo amesema anaamini UKAWA utasambaratika kabla ya 2015.Na baada ya hapo ndipo wananchi wataelewa kuhusu vita ya ACT na Chadema.
Source:Sauti Huru.
Naomba muniambie Maana ya -------- na mjinga ili nijue lipi Nitumie hapa all together if the will meet my taget