UKAWA imeivuruga ACT - Mwigamba

Mkuu Greenwhich,
Hivi Mwigamba alikuwa anatumia ID gani alipokuwa anaweka post za kishenzi kuwagonganisha viongozi?


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Msajiri wa chama hivi vya siasa heri alighted hicho ACT. The ACT party acts childish! Tunahitaji mkombozi wao wanaibuka na hoja ya kuunda chama kusema uovu wa furani tu. I shall need to read their constitution and see what acts in there!
 
Mwigamba akikosana tu na wenye chama akina Zitto, hatachelewa kuingia na id ya maskini mkulima kumchonganisha Zitto na Shibuda

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Who,is Mwigamba, aliomba mtaji wa milioni moja sijui alitaka kufanya biashara ya danguro.......
 
Hah hah me nashaur waungane TLP,UDP na ACT wawe na umoja wao kama UKAWA maana hao wote ni ant upinzani
 
Badala ya kuongelea sera za kusonga mbele unakuja na kuichafua chadema ww ulikuwa unaipenda chadema na Kule ulitimuliwa hukujiondoa leo hii unataka kuongelea nn take your way mburura
 
Back
Top Bottom