UKAWA imeivuruga ACT - Mwigamba

UKAWA imeivuruga ACT - Mwigamba

Mwigamba atakuwa na hali ngumu sana..hela iliyopigwa TANAPA na NSSF kupitia wasanii wa ukanga mmoja imekuwa nuksi,boss ana matatizo kumgusa anaweza ropoka, ....boss naye anawachanganya kwani tayari analili TOO LOCALS kuwa hawajashiriki..mwigamba hana hakina km boss anachagua njia gani tena.
 
Mkuu Greenwhich,
Hivi Mwigamba alikuwa anatumia ID gani alipokuwa anaweka post za kishenzi kuwagonganisha viongozi?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mkulima maskini!
 
Last edited by a moderator:
Mwigamba anatuaibisha sana wahasibu na ma auditors. Natamani NBAA wamnyang'anye CPA yake. Hii ni aibu
 
Mkuu Greenwhich,
Hivi Mwigamba alikuwa anatumia ID gani alipokuwa anaweka post za kishenzi kuwagonganisha viongozi?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mkuu Mungi

Alikuwa anatumia Mkulima Maskini na Mtu wa shamba
 
Last edited by a moderator:
Mwigamba anaweza kuchanganyikiwa sababu ya frustrations.

Zitto bado anampa zile M2 kweli,na hivi deal za gombe na leka zimeanza kushtukiwa,hali inaweza ikawa mbaya sana uko tuendako,ni bora JK akaangalia uwezekano wa kumchomeka kwenye bunge la katiba,na yeye apoze kidogo.
 
Mwigamba anatuaibisha sana wahasibu na ma auditors. Natamani NBAA wamnyang'anye CPA yake. Hii ni aibu

Heeh kumbe jamaa ni certified accountant!sasa mbona anajidhaliliswa na Zito namna hii,kutumiwa kama chambo
 
Mwigamba anatuaibisha sana wahasibu na ma auditors. Natamani NBAA wamnyang'anye CPA yake. Hii ni aibu

Mgamba kapata cpa lini? NBAA wawe makini na wanasiasa.

Sababu mi alinikera sana alivyoandika ujinga kwenye ile proposal yake yeye na kitila mkumbo ya kumuombea zitto pesa,yaani muhasibu haelewi haelewi hata application ya swot analysis bwana.
 
Heeh kumbe jamaa ni certified accountant!sasa mbona anajidhaliliswa na Zito namna hii,kutumiwa kama chambo
Sio certified,ndo kwanza yuko module e,kipindi ile anaandika proposal ya kuombe hela kutoka Gombe consulting ndo alikuwa aende kulipia hiyo mitihani,kama alipewa na kufanikiwa nadhani alipewa clause ya kumfanyia donor/zitto kazi zake kwa muda fulani.
 
Te te teh...
Mkulima Masikini!

Njoo tulime bangi tu kilimo cha siasa kimeshakushinda mwiGAMBA..
 
Kigoma tuko smarter than you think!
Kigoma mko smart sana ila mna matatizo yafuatayo.
1.Mna ubishi wa kurithi.ni wabishi tu hata bila sababu za msingi.
2.Mna hurka ya usaliti.
3.Ni ngumu sana kuwatofautisha na warundi na wakongo.
 
Hata zitto inasemekana kamzuia baba yake asijiexpose kwenye media sababu ni mrundi.

Baazi ya waasi wa huko rwanda/burundi/kongo wanaitaka kaka na mjomba na mzee kabwe.
 
Hata zitto inasemekana kamzuia baba yake asijiexpose kwenye media sababu ni mrundi.

Baadhi ya waasi wa huko rwanda/burundi/kongo wanaitana kaka na mjomba na mzee kabwe.
 
Mwigamba hakumaliza CPA, aliishia Module 7 akakwama, chezea magamba wewe, walimtosa

Na kama kweli zitto anamapenzi na mwigamba kwanini hajampa share kwenye Gombe consulting japo awaongee expertize za kihasibu.

Mahesabu ya zitto ni very complicated,vijana wengi wanalia.
 
Back
Top Bottom