Ha Ha Haa!!
unajichekesha chekesha kama kahaba
Ha Ha Haa!!
Act ccm inapendwa na wasaliti wote tz kama kina laki si pesa zzk mwigamba na babu lao LA wasaliti kitila
kwa mtindo huo kina betlehem, Dotto C. Rangimoto na wafuasi wao kina Ruttashobolwa wakawe ma dj kwenye ngoma za vigodoro tu pamoja na huko kwenye baikoko, au watengeneze live bendi wawe wanatuburudisha tu, au watengeneze kundi la vituko show kundi la vichekesho maana hakuna kazi nyingine nimewapa option hizo wachague kati ya hizo...
Akili ndogo sana hii ya kina Zito,,hawakujipanga kiukweli. Hii imeshasanuka. Hii strategy ya kuonekana wapo kwa kwa ajiri ya kukipinga chadema itawaondolea mantiki nzima ya kuwa chama cha upinzani. Na CDM watakamata hapo hapo basi mchezo utakuwa umeisha bila habari.
act inapendwa na watanzania wote, hata wewe unaipenda act sema unajitoa akili tu,,act iko mioyoni mwa watanzania
Katibu Mkuu wa ACT Samson Mwigamba amekiri ujio wa Muungano wa UKAWA umevuruga malengo ya chama chake.
Mwigamba amesema lengo kubwa la chama chake ni kuwaunganisha wananchi na kuwaeleza ubovu wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Mwigamba amesema hata hivyo kwa sasa Chadema iko katika ushirika na vyama vya CUF na NCCR chini ya mwamvuli wa UKAWA.Ameendelea kudai kwamba imekuwa vigumu kueleza uovu wa Chadema wananchi wakaulewa kwa sababu imetokea wananchi wanaiamini UKAWA na hawataki useme chochote kuhusu mshirika wa umoja huo.
Mwigamba hata hivyo amesema anaamini UKAWA utasambaratika kabla ya 2015.Na baada ya hapo ndipo wananchi wataelewa kuhusu vita ya ACT na Chadema.
Source:Sauti Huru.
pole mwigamba labda nikusaidie namna ya kumaliza cdm ww bwana badala ya kupambana na cdm unapambana na mbowe ukawa hawawez kuweka ukuta bali hujajua kua cdm walishakua na miziz hawawez kufa kirahis kama nccr mageuz.hata jamaa yako zito alidhan kua yeye ni bora kuliko chama lakin nakupa miez 3 ijayo kama jina la zito utalisikia tena.na asijelogwa akajiunga na ww bora awafate juliana na mwampamba.huko kwenye hard ofce yenu.ni bora hata wewe ungeenda tu ccm kuliko walivyokufungulia branch ufanye kaz ya kuua cdm sasa unaanza kukir kushindwa unategemea nin? kama si watakutupa kama condom ilokwisha kunyengea.