Mwanachama Sahihi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 572
- 217
- Thread starter
- #21
Utaambiwa jukwaa lilikuwa dogo, eti wasingetosha wote. Uchaguzi ukimalizika lazima tapeli mbowe ang'oke.
Ni hatari endapo sura ya UKAWA itabaki jijini Dar.
Utaambiwa jukwaa lilikuwa dogo, eti wasingetosha wote. Uchaguzi ukimalizika lazima tapeli mbowe ang'oke.
Mmezindua kampeni tayari, Dar es Salaam imewasikia na Iringa mmeonekana. Kilichodhihirika Iringa ni kwamba Lowassa anapata support kutoka kwa watu walewale aliotoka nao kwenye chama chake cha zamani. Tuelewe kwamba hamkuandaa timu kabambe katika zoezi hili? Au bado mnajipanga? Ufafanuzi tafadhali.

Hivi mbona hujiulizi kwanini CCM imetangaza timu ya kampeni yenye wajumbe wasiopungua 32, lakini mpaka sasa walionekana kufanya kampeni za Magufuli hawazidi makada 5, wengine wako wapi?
Siasa ni mbinu na mikakati, sio wakati wote unapaswa kuonyesha silaha zako, askari wako na mbinu zako kwa adui, ndio wanachokifanya UKAWA kwa sasa.
Kwa mfano, Mbinu za Lowassa mpaka sasa CCM wanashindwa kabisa kuzielewa, Ziara za ghafla, mikutano ya makundi maalum, Double Impact strategy, Mkakati wa kura za wanawake nk.
UKAWA wanasonga mbele kwa kasi kubwa sana, wakati CCM wanakazana kutapika matusi, mipasho na ujinga majukwaani.
Ukawa yenyewe nzima ni Timu tosha ya Kampeni,unataka timu gani nyingine
Sasa naanza kufuatilia hata siku ya ufunguzi, hivi kina Marando walikuwepo?
Hakuwepo ila alionekana chumbani kwa mama yako wakati ufunguzi unafanyika
Wagombea mbalimbali wapo majimboni wanafanya kampeni, kwa lugha ya socca hapo jamaa (ukawa) wanakaba mpaka penalti.
msitarajie kina lissu, mnyika, msigwa, Heche, Lema eti wajirundike kumnadi Lowassa. Lowassa ananadiwa na kila chama na kila mtanzania ikiwemo ccm.