kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,404
utaiona tu
Mmezindua kampeni tayari, Dar es Salaam imewasikia na Iringa mmeonekana. Kilichodhihirika Iringa ni kwamba Lowassa anapata support kutoka kwa watu walewale aliotoka nao kwenye chama chake cha zamani. Tuelewe kwamba hamkuandaa timu kabambe katika zoezi hili? Au bado mnajipanga? Ufafanuzi tafadhali.
ujinga wako ndio laaana yako.
ukawa hatuna ujinga kama huo wa matimu ya kijinga kijinga.
tunajiamini na tena tutashinda kwa kishindo.
hatuna timu za matusi na mipasho kama nyie mataahira wa lumumba
Kwanini watu mnapenda matusi! Juzi mlimsema Mkapa. Je,hii si sawa au zaidi ya matusi ya Mkapa?Hakuwepo ila alionekana chumbani kwa mama yako wakati ufunguzi unafanyika
Usifanya mzaha, jipangeni mkuu.
Hahahaha..nan alijua km tambwe hiza atapanda jukwaan jana!!!
Mbnu za ushind zinatofautiana we..nyie kaen na kna makongoro na kina lusinde sis tutawapiga nje ndan
Hiyo picha wapo waliokuwa mwenyekiti na katibu wa ccm huko arusha waliohamia cdm. Unataka wakushirikishe mipango hiyo?
Hahahaha..nan alijua km tambwe hiza atapanda jukwaan jana!!!
Mbnu za ushind zinatofautiana we..nyie kaen na kna makongoro na kina lusinde sis tutawapiga nje ndan
Chama cha siasa makini hakitangazi team yake ya uchaguzi; hili ni dhahili hata huko nyuma ccm haikuwahi kutangaza team yake ya uchaguzi ni safari hii tu kwasababu wamepanick ndio maana wamewatangaza wakina Wassira kuwa ndio team yao ya ushindi!! Ukawa wana team yao kabambe ambayo hawana haja ya kuwatangazia wananchi wao wanangojea matokeo tu.
Achana na mpumbavu huyo, atapata ufahamu Novemba.Ujinga huu unaweza kukusaidia sana, fuatilia utagundua. Unakumbuka ule mpango wa kampeni za kanda kwa kanda uliosambazwa katika mitandao ya kijamii?