UKAWA; Iko wapi timu yenu ya Kampeni

UKAWA; Iko wapi timu yenu ya Kampeni

Watanzania sisi bado elimu zetu ni duni sana . Inamaana kila wanachofanya ccm na ukawa wafanye.
Hivi kuna ulazima gani kutangaza timu ya kampeni ? Itakusaidia nini ?
Hukumsikia Tundu Lissu aliposema mwaka huu wamepata wataalamu kutoka nje ili kuwapa mbinu mbali mbali za ushindi..?
Subiri timu hapo watu wanchanja mbuga taratibuuu
 
Mmezindua kampeni tayari, Dar es Salaam imewasikia na Iringa mmeonekana. Kilichodhihirika Iringa ni kwamba Lowassa anapata support kutoka kwa watu walewale aliotoka nao kwenye chama chake cha zamani. Tuelewe kwamba hamkuandaa timu kabambe katika zoezi hili? Au bado mnajipanga? Ufafanuzi tafadhali.

Kila mwanachama ni timu ya ushindi anafanya kazi ya uhamasishaji...ndio maana kila mwanaukawa anapost vtu vya ukawa na kitangaza uzur na mikutano inapofanyika..hatuwaachii watu20pekee au 32..mabadiliko ni yakwetu sote
 
Timu ya ushindi manake nin? Kila mwana ukawa ni team ushindi mimi mwenye kwenye biashara napiga kampen kubwa tu
 
Kila mwanachama ni timu ya ushindi anafanya kazi ya uhamasishaji...ndio maana kila mwanaukawa anapost vtu vya ukawa na kitangaza uzur na mikutano inapofanyika..hatuwaachii watu20pekee au 32..mabadiliko ni yakwetu sote

Hujaona dosari yeyote mkuu? Najua Mungai, Masha na Sumaye hawaijui vizuri CDM achilia mbali UKAWA, tunaweza kuruhusu akina Lissu, Mnyika et al kujikita majimboni kwao ili kujiimarisha vizuri.
 
Ni kweli uliowataja hakijui chama vzr lkn kampeni ina sura mbili moja ni kuelezea mapungufu ya mshindani wako-ccm,ambapo apo sasa wanaoweza kulezea ubovu wa ccm ni sumaye..masha na mungai kwakua wao walikuepo muda..upande wa pili ni kuelezea ubora wa sera zko hii ndio kazi ya lowassa mwenyewe na viongozi wengine wa chama..hivyo kwa upande mmoja wa kampeni imeshafanikiwa bado wataungana pamoja..kwasasa wamegawa makumdi matatu..kundi la mbowe..la duni aji na la lowassa mwenyewe...shaka ondoa kaka.#mabadiliko lowasa
 
Mmezindua kampeni tayari, Dar es Salaam imewasikia na Iringa mmeonekana. Kilichodhihirika Iringa ni kwamba Lowassa anapata support kutoka kwa watu walewale aliotoka nao kwenye chama chake cha zamani. Tuelewe kwamba hamkuandaa timu kabambe katika zoezi hili? Au bado mnajipanga? Ufafanuzi tafadhali.

Kwani unataka timu au kampeni?
Mbona hueleweki?
 
Umeandika kwa furaha na bashasha kubwa na hivyo nikupongeze kwa hilo mkuu. Niko eneo ambalo linaelekea kuwa ngome ya CDM kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na akina zitto, dr slaa, mbowe et al kwa kuieleza vizuri sana na hatimaye kukubalika kwa cdm.Kama kuna mpango wa kujoin huko mbeleni haina taabu, vinginevyo itakuwa ngumu kutoboa kwenye propaganda hizi na hasa za chama kutekwa na wajanja. Mark it...
 
Good...
 
Ya kazi gani kila WILAYA au mkoa una watu madhubuti wa harakati za kampeni na wanakubalika si lazma kwa ukawa kufanya hayo koz wanakubalika na hawaitaji wauza sura mijini period
 
Mmezindua kampeni tayari, Dar es Salaam imewasikia na Iringa mmeonekana. Kilichodhihirika Iringa ni kwamba Lowassa anapata support kutoka kwa watu walewale aliotoka nao kwenye chama chake cha zamani. Tuelewe kwamba hamkuandaa timu kabambe katika zoezi hili? Au bado mnajipanga? Ufafanuzi tafadhali.

Hujui kusoma hata picha huoni? Kila mtu mwenye" vision" ya kutaka kuona Tanzania inaelekea katika mabadiliko ya uchumi atashiriki kwa njia moja au nyingine kumpa support mgombea uraisi anaelekea kuwa na vision. Timu ya ni ni Labda kama ya matusi. Timu iliyoteuliwa inawatumia nguvu nyingine na muda mwingi kuwachambua wapinzani bila kuwanadi wagombea wao.
 
CCM imekuwa na timu za kampeni huzitangaza waziwazi...umewasahau akina Ulimwengu enzi za Mkapa, EL na Kinana enzi za JK? Timu ya UKAWA kama ipo chini kwa chini mimi hapo sina tatizo mkuu

Wasingekuwa na team UKAWA ya mikakati ya uchaguzi wasingekuwa wanapata NYOMI ya wafuasi kama inavyoonekana!!!
 
Hivi katika timu ya ccm na yule mporomosha matusi nayeye ni mmojawao ama walimpanafasi ya kutukana watu tu alaf basi. Mkapa, "WAPUMBAVU, NA MALOFA.
 
CCM ni timu tosha kabisa ya kampeni yake maana wanatumia mda mwingi kumnadi (kwa mabaya yake) na kumpa publicity, mpaka wanasahau ilani yao
 
Mbona unaweweseka.Ww umesikia wapi wakilalamika kwamba hawana timu ya kampeni.
 
Hatuhitaji timu ya waropokaji kama nyie,timu yetu ndogo lakini habari yake kubwa!!!tukutane Oct 25
 
Back
Top Bottom