Tulikua katika mchakato mzuri wakuchuadola kwa safu yetu nzuri.Lakini walipokuja hawa wageni wametuvuruga tumeona Chama kumbe ni chakaskazini.wakubwa wote wanatoka huko Mtei,Ndesamburo,Lowasa,Mbowe Slaa,mdee Komu naomba viongozi walione hilo vinginevyo kweli itatugharimu