Hivi hii comment umeiweka kwa kila uzi?Bring back our ESCROW MONEY.
Ndiyo, mpaka mrudishe pesa ndo ntaacha.Hivi hii comment umeiweka kwa kila uzi?
Bring back our ESCROW MONEY.
Ukawa bado ipo imara sana!
Naona bado mnajifanya tomaso, subirini matokeo ya serikali za mitaa yatawapa majibuUkawa bado ipo imara sana!
Alivyolisema neno lenyewe kuwa UKAWA bado iko Imara ni kinyonge sana, wanajifariji tu dada yanguWala haiko imara mbona inashindwa huu uchaguzi mdogo mkubwa itaweza?
Usipoteze muda kwa, wwe nenda kwenye mada moja kwa moja UKAWA chali si chali?naweka pingamizi maandishi yako yana koma mbili wakati unaandika hukuvaa shati kinyume na maadili napeleka hili pingamizi kwa mwezangu atkataa au atalikubali tafakari
Atakuwa mtoto wa nje ya ndoa wa REGINALD MENGIYou are suffering from a new mental disorder disease known as ESCROWPHOBIA.
Ningekuwa na simu ya hospitali ya vichaa mirembe ningekupa ili uwapigie wakusaidie.Lakini naamini humu jamii forums kutakuwa na watu wanayo nawaomba wakupe.
Eti wamekwenda kushtaki kwa mabwana zao huko Ulaya.Nilisha sema UKAWA hawana shida na nchi,,, hawajui waendako,, wenye kujua waendako hawapewi nafasi,,, wanaambiwa hawajakua, au wamepitiliza umri, au wasaliti almuradi ni tafrani tu,,,, wakati CCM wakijipanga vyema kwa uchaguzi wenzao wanakula bata Ulaya.... safi sana UKAWA
Ndiyo, mpaka mrudishe pesa ndo ntaacha.
Siwachii hata nafasi ya kupumua, majambazi wakubwa hawa.Kiongozi unaumiza watu. Toa phrase nyingine wapate amani kidogo