Umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) wameangukia pua baada ya kushindwa kusimamisha wagombea kwa kiasi kikubwa sehemu mbalimbali za nchi.
Mfano wilaya ya Kilindi CCM imepita bila kupingwa yaani maana yake wameshamaliza uchaguzi.
Nina mashaka makubwa na hivi vyama vilivyoungana pale wanaposema wanataka kuchukua nchi kama wanashindwa kusimamisha wagombea kwenye uchaguzi muhimu kama huu yani vyama vinne vyote havina uwezo wa kusimamisha mgombea halafu wanajidai wanaoparesheni yao ya uongo uongo delete CCM.
Kwa mwendo huu hawataweza,naomba kuwasilisha kidumu chama tawala.