UKAWA chali miguu juu uchaguzi wa serikali ya mtaa Kilindi

mwechaga

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
334
195
Umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) wameangukia pua baada ya kushindwa kusimamisha wagombea kwa kiasi kikubwa sehemu mbalimbali za nchi.

Mfano wilaya ya Kilindi CCM imepita bila kupingwa yaani maana yake wameshamaliza uchaguzi.

Nina mashaka makubwa na hivi vyama vilivyoungana pale wanaposema wanataka kuchukua nchi kama wanashindwa kusimamisha wagombea kwenye uchaguzi muhimu kama huu yani vyama vinne vyote havina uwezo wa kusimamisha mgombea halafu wanajidai wanaoparesheni yao ya uongo uongo delete CCM.

Kwa mwendo huu hawataweza,naomba kuwasilisha kidumu chama tawala.
 
fundi25

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
8,630
2,000
Ccm wezi na watabaki kuwa wezi siku arobaini zikifika lazima tuwapige mawe zipo karibu kabisa
 
msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,833
2,000
Nilisha sema UKAWA hawana shida na nchi,,, hawajui waendako,, wenye kujua waendako hawapewi nafasi,,, wanaambiwa hawajakua, au wamepitiliza umri, au wasaliti almuradi ni tafrani tu,,,, wakati CCM wakijipanga vyema kwa uchaguzi wenzao wanakula bata Ulaya.... safi sana UKAWA
 
East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,761
1,195
Bring back our ESCROW MONEY.
You are suffering from a new mental disorder disease known as ESCROWPHOBIA.
Ningekuwa na simu ya hospitali ya vichaa mirembe ningekupa ili uwapigie wakusaidie.Lakini naamini humu jamii forums kutakuwa na watu wanayo nawaomba wakupe.
 
Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
4,692
2,000
naweka pingamizi maandishi yako yana koma mbili wakati unaandika hukuvaa shati kinyume na maadili napeleka hili pingamizi kwa mwezangu atkataa au atalikubali tafakari
 
thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,344
2,000
naweka pingamizi maandishi yako yana koma mbili wakati unaandika hukuvaa shati kinyume na maadili napeleka hili pingamizi kwa mwezangu atkataa au atalikubali tafakari
Usipoteze muda kwa, wwe nenda kwenye mada moja kwa moja UKAWA chali si chali?
 
thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,344
2,000
You are suffering from a new mental disorder disease known as ESCROWPHOBIA.
Ningekuwa na simu ya hospitali ya vichaa mirembe ningekupa ili uwapigie wakusaidie.Lakini naamini humu jamii forums kutakuwa na watu wanayo nawaomba wakupe.
Atakuwa mtoto wa nje ya ndoa wa REGINALD MENGI
 
thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,344
2,000
Nilisha sema UKAWA hawana shida na nchi,,, hawajui waendako,, wenye kujua waendako hawapewi nafasi,,, wanaambiwa hawajakua, au wamepitiliza umri, au wasaliti almuradi ni tafrani tu,,,, wakati CCM wakijipanga vyema kwa uchaguzi wenzao wanakula bata Ulaya.... safi sana UKAWA
Eti wamekwenda kushtaki kwa mabwana zao huko Ulaya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom