GE2025 Ukatili wa Samia: Kama wanaosukumana tu kwenye kampeni anataka polisi wawashughulikie, wanaomkosoa je?

GE2025 Ukatili wa Samia: Kama wanaosukumana tu kwenye kampeni anataka polisi wawashughulikie, wanaomkosoa je?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,236
Yani suala la kusema tu hapo mbele msisukumane, anaona suluhisho ni police. Yaani Samia ana kiburi kikali sana kilichochanganyika na unafiki, akiongea utadhani mwema, yaani anahisi kuwa yeye ni mtu special sana, and nothing come close to her.

Si ajabu aliechoma picha yake haonekani.

Mungu nipe umri mrefu wa kumshuhudia Samia akiwa powerless.
 
kwanza yeye mwenyewe angeweza kuwakanya hao watoto ni wadogo bila hata police kwa kuwaeleza tulieni tatizo kusomba watu
 
Vijana wamefuata burudani ya wasanii sio kumsikiliza huyo utu na kazi!
 
Mambo hayapo sawa hapa ukiona hivi, ilikuwa aseme kuna nini hapo Police mbona naona fujo.
 
Mambo hayapo sawa hapa ukiona hivi, ilikuwa aseme kuna nini hapo Police mbona naona fujo.
Ilikua ni ishu ya kumvuta msaidizi wake kumpa maelekezo kimya kimya.

Ila haya yanatokea kwa kuwa Mungu ameufanya moyo wake kuwa mgumu ili azidi kuwatia watu hasira na hamasa.
 
Sema Wasukuma (baadhi/wengi wao) hawajielewi, kusikia tu kwenye kampeni utapatikana wali na soda basi wakajazana tele.
ACha ukabila, ni mkoa gani ambapo Samia ameenda watu hawajajaa uwanja.??

Halafu serengeti sio wasukuma.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Sema Wasukuma (baadhi/wengi wao) hawajielewi, kusikia tu kwenye kampeni utapatikana wali na soda basi wakajazana tele.
acha uduanzi unataka kusema huko mtwara hao wote wanao hudhuria ni wasukuma pia?
Basi muwaachie wasukuma nchi yao kama ni hvo.
 
Jino kwa jino, huenda ata akipita, hatachukua mda mrefu kuongoza.
Mambo yatajirudia tena yaliyopita.

Amwombe Mungu tu.

Nahs mambo yatamrudia na kumgeuka. karma haikopeshi.

WACHA TUONE
 
Back
Top Bottom