Ukatili wa manyaunyau

Nackia 2015 nae anachukua ubunge kupitia ccm, anfuata nyao za prof. Maji Marefu!
 
Nasikia jamaa alishafariki...labda alikunywa damu ya paka mwenye ugonjwa wa rabbies
 
Mkuu mshana jr hiyo ni mojawapo ya kazi yake kunywa damu ya paka sio ukatili kutokana na ugumu wa kazi yake ndio anafanya hivyo.

Nasikia jamaa alishafariki...labda alikunywa damu ya paka mwenye ugonjwa wa rabbies


KIJANA MDOGOOO ETI MCHAWI

Pichani ni kijana mwenye umri wa miaka 19 ambaye anatuhumiwa na jamii inayomzunga akidaiwa kujihusiha na mambo ya kishirikina kwa madai ya kurithishwa uchafu huo, tukio hilo lilitokea maeneo ya Jet Lumo kiwalani baada ya wananchi kumtaka mganga wa tiba za asili ambaye pia ni kiboko ya wachawi Dr. Manyaunyau kwenda kuwasafishia mtaa wao huo uliokithiri kwa mambo hayo ya kishirikina.
n
KUNA KITU HAPA

Dr. Manyaunyau akisaka baadhi ya vitu vinavyoaminika kuwa ni uchawi ambao umefukiwa katika moja ya nyumba huko Jet Lumo Kiwalani Dar es Salaam.

Hajakufa angelikufa mbona si angekwisha tangazwa kwenye vyombo vya habari?
 
Last edited by a moderator:

Unajua nina maoni tofauti sana hasa linapokuja swala la kutoa uhai Ninaheshimu mno uhai na uumbaji wa chochote kwakuwa huwa naona ni kitu cha kipekee mno
 
Last edited by a moderator:
Unajua nina maoni tofauti sana hasa linapokuja swala la kutoa uhai Ninaheshimu mno uhai na uumbaji wa chochote kwakuwa huwa naona ni kitu cha kipekee mno
Hujamuelewa Dr Manyaunyau nini anachokifanya ndio maana wewe unaona anafanya kitu cha ukatili kuuwa paka katika shughuli zake, kazi anayoifanya huyu Dr Manyaunyau mimi sitoweza kuifanya hata kama nitajuwa kuifanya sitoifanya hata kama wewe utanipa shillingi Millioni 10. Sitoifanya ni kazi ngumu na kazi ya Rizki unaweza kufa wakati wowote kushindana na wachawi ambao wanatumia Majini sio kazi rahisi Mkuu mshana jr
 

Nimekuelewa vizuri kaka ila ninachozungumzia ni kile kitendo cha kutoa uhai wa kiumbe binafsi nimekulia kwenye mazingira ya wachawi hasa labda na ndio maana nimeathirika na hii tabia ya kupenda uchawi nimeichukua huko
Nimeona mateso mengi ya wanyama tangu udogoni jogoo anachinjwa halafu anaachwa arukeruke mpaka akate roho nk nk nilikuwa naumia sana

Nimejifunza uchawi kwa namna fulani kuna jinsi ya kufanya uganga bila kuwaumiza wanyama na hiki ndicho ninachokipigania
 
Kuchinjwa kuku mbuzi ng'ombe ngamia ni halali kwa mujibu wa Dini zote hakuna kitu cha kuonea huruma wewe kama ni kweli unaonea huruma wanyama kuchinjwa usile nyama ya aina yoyote

ile maishani mwako nitajuwa kweli unawaonea huruma wanyama wasichinjwe. Suala la kumchinja paka kwa DR Manyaunyau ni katika njia ya Utibabu wake wewe ulitaka DR Manyaunyau amchinje binadamu

badala ya mnyama paka? Nimekwambia kutokana na ugumu wa kazi yake inabidi afanye hivyo. Kazi anayoifanya Dr Manyaunyau ni kazi ngumu sana kazi ya kufichuwa uchawi katika majumbani na kazi ya

kuwafichuwa Wachawi sio kazi rahisi wewe unafikiri Wachawi wanapenda DR MAnyaunyau anavyowaumbuwa? Muache afanye vile anavyojuwa DR Manyaunyau mimi pia ninamuunga mkono ingawa kazi anayoifanya siiwezi kuifanya ni kazi ngumu sana. Mkuu mshana jr
 

Hapa mkuu MziziMkavu tuna maoni tofauti nayaheshimu ya kwako na wala sitaweza kukupinga
 
Last edited by a moderator:
Hapa mkuu MziziMkavu tuna maoni tofauti nayaheshimu ya kwako na wala sitaweza kukupinga
HUYU NDIE RAFIKI WA UKWELI


Muda wote huyu paka huwepo kwenye gari yangu nampenda kwani yeye ndio anaye uongoza safari zangu na kunionyesha wabaya wa mitaa nawe kama wamtaka naweza kukuazima pia nawe uone mwenyewe?


 
Last edited by a moderator:
hili jamaa chawii acha ,limeweka mabomba ya maji pale mkuranga bac watu wanayoka rufiji kuja kuteka maji kwake
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…