Ukatili wa Kanisa Katoliki, Papa aomba msamaha

View attachment 484665View attachment 484666
Pitia hii makala ya THE GURDIAN mwaka ya 2014

Tuesday 8 April 2014 05.15 EDTFirst published on Tuesday 8 April 201405.15 EDT

There is a Roman Catholic priest at a medieval church an hour's drive from Paris who has been indicted by a United Nations court for genocide, extermination, murder and rape in Rwanda.

Father Wenceslas Munyeshyaka was notorious during the 1994 genocide of 800,000 Tutsis for wearing a gun on his hip and colluding with the Hutu militia that murdered hundreds of people sheltering in his church. A Rwandan court convicted the priest of genocide and sentenced him in absentia to life in prison. The International Criminal Tribunal for Rwanda spent years trying to bring him to trial.

But the Catholic church in France does not see any of this as a bar to serving as a priest and has gone out of its way to defend Munyeshyaka.

It's not an isolated case. After the genocide, a network of clergy and church organisations brought priests and nuns with blood on their hands in Rwanda to Europe and sheltered them. They included Father Athanase Seromba who ordered the bulldozing of his church with 2,000 Tutsis inside and had the survivors shot. Catholic monks helped him get to Italy, change his name and become a parish priest in Florence.

After Seromba was exposed, the international tribunal's chief prosecutor, Carla Del Ponte, accused the Vatican of obstructing his extradition to face trial. The Holy See told her the priest was "doing good works" in Italy. Another Rwanda priest taken on in Italy is facing charges of overseeing the massacre of disabled Tutsi children.

The Vatican's reluctance to confront the murderers in its midst is rooted in its refusal to face up to the church's complicity in mass murder. But as Rwanda marks the 20th anniversary of the genocide, the time has come for Pope Francis to follow his own lead on paedophile priests and apologise for the part played by the clergy in turning churches into extermination centres. The Vatican should accompany a plea for forgiveness with a calling to account of priests complicit in the killing.

For two decades, the Vatican has maintained that, while individual clergy were guilty of terrible crimes, the church as an institution bears no responsibility. The Holy See would prefer the world to focus on the more than 200 priests and nuns killed in the genocide. But, while there is no doubt there were courageous members of the clergy, many Tutsi survivors regard the church as allied with the killers and culpability as beginning at the very top of the Catholic hierarchy in Rwanda.

Archbishop Vincent Nsengiyumva was so closely attached to the Hutu power structure that for nearly 15 years he sat in the ruling party's central committee as it implemented the policies of discrimination and demonisation that laid the ground for genocide. His political affiliations left him well placed to at least try to urge the regime to stop the killing in 1994 and to have been a strong moral voice in public against the slaughter. Instead, he was incapable even of calling the massacres a genocide let alone condemning the politicians and military officers leading them. The archbishop became so compromised that witnesses said he stood by as Tutsi priests, monks and a nun were taken to be murdered.

Many of Nsengiyumva's bishops and priests were apologists for the killers by falsely trying to pin blame for the massacres onPaul Kagame's mostly Tutsi rebel army. That sent a message to the murderers that the church was not going to judge them. Some openly said that God had abandoned the Tutsis.

The Organisation for African Unity's report on the genocide described the church in Rwanda as carrying a "heavy responsibility" for failing to oppose, and even promoting, ethnic discrimination. It said the church offered "indispensable support" to the Hutu regime during the killing and described church leaders as playing "a conspicuously scandalous role" in the genocide by failing to take a moral stand against it.

"This stance was easily interpreted by ordinary Christians as an implicit endorsement of the killings, as was the close association of church leaders with the leaders of the genocide," the report said.

I went to see Munyeshyaka at his church in Gisors a few months ago. He denies the charges against him and defiantly defends carrying a gun during the genocide. He also remains unapologetically aligned with groups that keep alive the ideology that underpinned the genocide.

Clearly Munyeshyaka is not going to apologise for his part in Rwanda's tragedy. All the more reason for the pope to acknowledge that the Catholic church failed in Rwanda in 1994, and continues to do so by protecting such priests.

• Chris McGreal's Chaplains of the Militia, on the role of churches during the genocide in Rwanda, is out now from Guardian Shorts. Visit guardianshorts.com to read an extract and find out more
A Roman Catholic priest***
Sentensi ya kwanza tu imenifanya nisimalizie kusoma mpaka chini. Kwahiyo ata kama mchungaji wa kanisa kabaka ni kanisa ndio limebaka?
Wewe ni nani mpaka unyooshee mtu kidole angalia usijekua kuni wakati wenzio tukiwa tunaimba na kucheza kwenye nchi ya asali na maziwa [emoji6] [emoji6]
 
NASADIKI KWA KANISA MOJA,
TAKATIFU, KATOLIKI, LA MITUME.
NAUNGAMA UBATIZO MMOJA KWA MAONDOLEO YA DHAMBI.
NANGOJEA NA UFUFUKO WA WAFU.
NA UZIMA WA MILELE IJAYO./AMINA.
 
Ninatambua uovu uliofanywa na kanisa Katoliki huko nyuma,nitatambua kuwa kiongozi mkuu wa kanisa hilo,kama vile alivyo kiongozi yoyote mwenye staha na ubinadamu ni lazima akiri makosa aliyotenda yeye au jumuiya anayoiongoza,huu ni utu....

Lakini kulihusisha kanisa katoliki na unabii wa Danieli na Ufunuo ni upotofu mkubwa kabisa kupata kutokea duniani,sijui ni kwanini watu mnapenda sana kushabikia mambo bila kufanya utafiti wa kina....

Ufunuo na Danieli,Isaya,Ezekieli na vitabu vingine vya kinabii vinasema kabisa kwa namna ya kipekee namna unabii huo utakavyokuwa na siyo na hauhusiani kabisa na kanisa katoliki....

Quote zinazowekwa kila wale wanaohusisha unabii huo na kanisa katoliki wamekuwa wakionesha udhaifu miubwa sana.Kama kwenye Danieli 7,wale wanyama wanne bado hawajatokea kabisa hata mmoja lakini watu wanakimbilia kuhitimisha sijui Rome,Medo-Persia,Greece n.k....

Hii ni hatari sana.....
 
Mleta mada ni popoma wa Kisabato ingawa jina lake ni la ki-Katoliki! Yule mama Illuminati amewalisha vitu vya ajabu sana hawa Sabato Masalia!!
 
Ninatambua uovu uliofanywa na kanisa Katoliki huko nyuma,nitatambua kuwa kiongozi mkuu wa kanisa hilo,kama vile alivyo kiongozi yoyote mwenye staha na ubinadamu ni lazima akiri makosa aliyotenda yeye au jumuiya anayoiongoza,huu ni utu....

Lakini kulihusisha kanisa katoliki na unabii wa Danieli na Ufunuo ni upotofu mkubwa kabisa kupata kutokea duniani,sijui ni kwanini watu mnapenda sana kushabikia mambo bila kufanya utafiti wa kina....

Ufunuo na Danieli,Isaya,Ezekieli na vitabu vingine vya kinabii vinasema kabisa kwa namna ya kipekee namna unabii huo utakavyokuwa na siyo na hauhusiani kabisa na kanisa katoliki....

Quote zinazowekwa kila wale wanaohusisha unabii huo na kanisa katoliki wamekuwa wakionesha udhaifu miubwa sana.Kama kwenye Danieli 7,wale wanyama wanne bado hawajatokea kabisa hata mmoja lakini watu wanakimbilia kuhitimisha sijui Rome,Medo-Persia,Greece n.k....

Hii ni hatari sana.....
Mkuu kasome vizuri, watu wanafika mwisho wa nyakati we unasema wanyama wa ufunuo na daniel hawajaotokea ,acha vichekesho
 
Historia inaonyesha wazi kuwa Mamlaka ya Papa ilitesa na kuangamiza Wakristo, hasa katika kilele cha utawala wake katika karne za kati. Wanahistoria wengi wanasema zaidi ya watu milioni hamsini waliuawa kwa ajili ya imani zao katika kipindi cha dhiki kuu.Sababu kuu ya kuuawa na kuteswa kwao ilikuwa ni kupinga na kukataa kutambua kanisa KATOLIKI kama kanisa la Mungu ,hivyo walitakiwa kuuawa au kuteswa ili "wazushi" hawa wanyamazishwe
Dokezo la Biblia kuhusu ukatii huu,imeandikiwa

“Naye akapewa kinywa cha kunena maneno makuu, ya makufuru. Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake miezi arobaini na miwili. Akafunua kinywa chake amtukane Mungu, na kulitukana jina lake; na maskani yake, nao wakaao mbinguni. Tena akapewa kufanya vita na watakatifu na KUWASHINDA, akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na taifa. Ufunuon 13:5-7

PAPA FRANCIS AOMBA MASAMAHA

Papa Francis awaomba radhi Waprotestanti ,BBC WANARIPOTI

26 Januari 2016

Katika hatua ya kujumuisha umoja wa kikristo, Papa Francis amewaomba radhi waumini wa Kiprotestanti kutokana na unyanyasaji walioupata kutoka kanisa Katoliki miaka ya nyuma.

Papa Francis amewataka waumini wa kanisa Katoliki pia kuwasamehe wale ambao waliwakosea ili wasiruhusu makosa yaliyotendeka nyuma kuwa sumu ya mahusiano ya sasa. Kufuatia tamko hilo msemaji wa Vatcan ametangaza kuwa Papa Francis atazuru mji wa Lund uliopo Swedish eneo ambalo jumuiya ya Kilutheri ilianzishwa na kuanzisha thehebu la Kilutheri karne tano zilizopita.

KUHUSU Mauji ya RWANDA

PAPA FRANCIS AMEKUBALI KUWA KANISA KATOLIKI LILIHUSIKA KATIKA MAUAJI HAYO AMBAPO WATU ZAIDI YA 800,00O WALIUAWA ,BBC WANARIPOTI

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa "dhambi na makosa yaliyotekelezwa na Kanisa na waumini wake … ambao walitekwa na chuki na ghasia" wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda.

Alikuwa akiongea baada ya kukutana na Rais Paul Kagame mjini Vatican.

Ombi lake la msahama limetokea baada ya ombi la Rwanda Novemba mwaka jana kwa Vatican kuomba radhi kutokana na mchango wa mapadri wa kanisa Katoliki na baadhi ya viongozi wake wakati wa mauaji hayo ya mwaka 1994.
-----
haya ni machache yalifunuka hata tukayaona ,je kuna mangapi ambayo hatuyajuai ?

Je kanisa KATOLIKI limebadilika? ,LA HASHA ! hapana kanisa hili halitabadilika kamwe bali litabadili namna ya utendaji wake kulingana na wakati ,hii ni kwa sababu kanisa hili linapata nguvu KUTOKA kwa shetani mwenyewe soma,Ufunuo wa Yohana 13 : 2

BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU KANISA HILI KATILI

Note:mwanamke katika unabii humaanisha kanisa ,hapa Mungu analielezea kanisa KATOLIKI na watoto wake [makanisa yote yanayopinga amri za Mungu] kwa kutumia mwanamke kahaba na binti zake ,kama kuna mahali hutaelewa uliza

Akaja mmoja wa wale malaika saba, wenye vile vitasa saba, akanena nami, akisema, Njoo huku, nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu aketiye juu ya maji mengi;ambaye wafalme wa nchi wamezini naye, nao wakaao katika nchi wamelevywa kwa mvinyo ya uasherati wake. Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi - Na mwanamke yule alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake.Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI. - Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu.Ufunuo wa Yohana 17 : 1-6

Mungu anajua mateso yanayosababishwa na kanisa KATOLIKI kwa watu wake ,hukumu yake inaafaliwa

Wakatoliki waaminifu wafanye nini ?

Mungu anasema

Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.- Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.Ufunuo wa Yohana 18 : 4-5
Mh. Ninakupongeza kwa jitihada zako japo sijui ni kwa lengo gani; kuongoa au kuhubiri ama kukerehesha.

Kuna uzi mwingine umeukimbia ukaibukia huku. Napenda nichangie machache kwa lengo like like la kuelimishwa.

Mosi, msamaha ulioombwa siyo kwa ushiriki wa Kanisa katoliki bali waumini wa Kanisa katoliki. Kama nilielewa vibaya nipo radhi kusahihishwa.

Pili, siyo kweli kwamba waumini wa madhehebu na dini tofauti hawakushiriki katika hayo mauaji ya kimbari. Watu wa imani zote walishiriki ikiwa ni pamoja na wa dhehebu lako. Labda kama hujui kilichotokea.

Tatu, motive ya mauaji ilikuwa mbali sana na mambo ya dini. Bali yalichagizwa na mpishano wa kmatabaka yaliyojengwa na ukabila na ubaguzi wa kikabila. Ikiwa ni dini basi ni radhi kujuzwa.

Nne, mwanazuoni Mahmoud Mamdan alilifanyia utafiti wa kina suala hili ili kubaini chanzo chake na akahitimisha kwa kuandika kitabu chake maarufu sana kiitwacho "When Victims Become Killers" ameweka bayana pasi na shaka kile kilichozaa mauaji. Nakushauri ukipate ili ujifunze kitu.

*Kutokana na sababu zilizoainishwa, watu walivua ukatoliki, usabato, uislamu nauprotestanti na kuvaa Uhutu na Utusi. Kwa hiyo alichokifanya papa ni kutibu majeraha kwa vile waumini walishiriki kupitia uhutu na utusi wao.

*Kanisa katoliki lina taasisi kama shule na makazi ya mapadre ambapo watu wengi walikimbilia. Kanisa halikuwa na uwezo wa kuzuia wauwaji wasiingie hivyo kuna watu waliuawa kwenye maeneo yaliyo chini ya Kanisa katoliki kama ambavyo wengine waliuawa kwenye majengo ya serikali.

*Pia kuna wahudumu wa Kanisa ambao walitanguliza makabila yao hivyo waliwataarifu wauaji kwamba kuna waliojificha makanisani. Hii ni sawa na maaskari ambao badala ya kuwalinda raia walivaa ukabila wao na kuanza kuwaua na kuwawinda.

*Pia kuna wake ama waume ambao waliwaua wenzi wao kwa sababu walikuwa kabila hasimu. Hii inaonesha ni jinsi gani chuki ya ukabila na ubaguzi ilipikika ikaiva na kuwakolea watu kiasi cha kuondoa utu ndani yao.

Tano, kuna somo zuri sana kwetu sisi ambao tunapenda kutengeneza mazingira ya kutunufaisha.
Ninasikitika kuona unalazimisha tukio hili liwe ni msaada wako wa kupata waumini. Ndugu yangu, inaonesha hujui chochote kuhusiana na hii dhahama. Ushauri kwako
. Siyo vizuri kuibua hisia. Tumia maandiko na ishi imani yako kiuadilifu nasi wapotevu tutajifunza na kukufuata pale ulipo.
. Mtu wa Mungu unapaswa uwe na roho wa bwana ili ufariji waliao na kuwapatia maua badala ya jivu.
. Omba kwa ajili ya nchi yetu ili tusiendelee kuhubiri ukabila na ukanda na pengine tutoe fursa kwa usawa ili tusifike huko.
.Ninakuombea ili hekima ya Mungu iwe nawe kusudi ukapate kuona kile ambacho unakihubiri pasipo kujua.

Mwisho, usiache kukitafuta hicho kitabu. Pia nilikushauri utafute kitabu cha E. G. White "Retirement Years" uone namna alivyopata Ujumbe wa kuhubiri kupitia Vitabu badala ya jukwaani.

Penda kujifunza kwani huwezi kuwa na maarifa yote kwa kila kitu.

Tumsifu Yesu Kristo.
 
Mkuu na mauji ya watu zaidi ya 50M yaliyotekelezwa na kanisa KATOLIKI tangu mwaka 538-1978 AD ,watu WALIUAWA kaa kupinga kutabua kanisa KATOLIKI kama kanisa Mungu maana lilikuwa linaingiza mapokeo na kuwafanya sehemu ya ibada ,hivyo wale waliokataa mapokea na ibada za SANAMU WALIUAWA

PAPA Pia mwaka Jana aliomba msamaha kaa tukio hilo

Huoni kama hapa kuna uwalakini kwenye ukatoliki ?
 
View attachment 484665View attachment 484666
Pitia hii makala ya THE GURDIAN mwaka ya 2014

Tuesday 8 April 2014 05.15 EDTFirst published on Tuesday 8 April 201405.15 EDT

There is a Roman Catholic priest at a medieval church an hour's drive from Paris who has been indicted by a United Nations court for genocide, extermination, murder and rape in Rwanda.

Father Wenceslas Munyeshyaka was notorious during the 1994 genocide of 800,000 Tutsis for wearing a gun on his hip and colluding with the Hutu militia that murdered hundreds of people sheltering in his church. A Rwandan court convicted the priest of genocide and sentenced him in absentia to life in prison. The International Criminal Tribunal for Rwanda spent years trying to bring him to trial.

But the Catholic church in France does not see any of this as a bar to serving as a priest and has gone out of its way to defend Munyeshyaka.

It's not an isolated case. After the genocide, a network of clergy and church organisations brought priests and nuns with blood on their hands in Rwanda to Europe and sheltered them. They included Father Athanase Seromba who ordered the bulldozing of his church with 2,000 Tutsis inside and had the survivors shot. Catholic monks helped him get to Italy, change his name and become a parish priest in Florence.

After Seromba was exposed, the international tribunal's chief prosecutor, Carla Del Ponte, accused the Vatican of obstructing his extradition to face trial. The Holy See told her the priest was "doing good works" in Italy. Another Rwanda priest taken on in Italy is facing charges of overseeing the massacre of disabled Tutsi children.

The Vatican's reluctance to confront the murderers in its midst is rooted in its refusal to face up to the church's complicity in mass murder. But as Rwanda marks the 20th anniversary of the genocide, the time has come for Pope Francis to follow his own lead on paedophile priests and apologise for the part played by the clergy in turning churches into extermination centres. The Vatican should accompany a plea for forgiveness with a calling to account of priests complicit in the killing.

For two decades, the Vatican has maintained that, while individual clergy were guilty of terrible crimes, the church as an institution bears no responsibility. The Holy See would prefer the world to focus on the more than 200 priests and nuns killed in the genocide. But, while there is no doubt there were courageous members of the clergy, many Tutsi survivors regard the church as allied with the killers and culpability as beginning at the very top of the Catholic hierarchy in Rwanda.

Archbishop Vincent Nsengiyumva was so closely attached to the Hutu power structure that for nearly 15 years he sat in the ruling party's central committee as it implemented the policies of discrimination and demonisation that laid the ground for genocide. His political affiliations left him well placed to at least try to urge the regime to stop the killing in 1994 and to have been a strong moral voice in public against the slaughter. Instead, he was incapable even of calling the massacres a genocide let alone condemning the politicians and military officers leading them. The archbishop became so compromised that witnesses said he stood by as Tutsi priests, monks and a nun were taken to be murdered.

Many of Nsengiyumva's bishops and priests were apologists for the killers by falsely trying to pin blame for the massacres onPaul Kagame's mostly Tutsi rebel army. That sent a message to the murderers that the church was not going to judge them. Some openly said that God had abandoned the Tutsis.

The Organisation for African Unity's report on the genocide described the church in Rwanda as carrying a "heavy responsibility" for failing to oppose, and even promoting, ethnic discrimination. It said the church offered "indispensable support" to the Hutu regime during the killing and described church leaders as playing "a conspicuously scandalous role" in the genocide by failing to take a moral stand against it.

"This stance was easily interpreted by ordinary Christians as an implicit endorsement of the killings, as was the close association of church leaders with the leaders of the genocide," the report said.

I went to see Munyeshyaka at his church in Gisors a few months ago. He denies the charges against him and defiantly defends carrying a gun during the genocide. He also remains unapologetically aligned with groups that keep alive the ideology that underpinned the genocide.

Clearly Munyeshyaka is not going to apologise for his part in Rwanda's tragedy. All the more reason for the pope to acknowledge that the Catholic church failed in Rwanda in 1994, and continues to do so by protecting such priests.

• Chris McGreal's Chaplains of the Militia, on the role of churches during the genocide in Rwanda, is out now from Guardian Shorts. Visit guardianshorts.com to read an extract and find out more
Ni kweli na sahihi kabisa kwamba kuna baadhi ya makasisi na waumini Wakatoliki waliohusika na kutekeleza mauaji ya kimbari huko Rwanda. LAKINI hakuna popote inapooneshwa au kuonekana kuwa KANISA KATOLIKI lilibariki, kuwatuma au kuwaelekeza kufanya vile walivyofanya.

Hence, a fallacy of ignorance (argumentum ad ignoratiam) and fallacy of generalisation.
 
Mkuu na mauji ya watu zaidi ya 50M yaliyotekelezwa na kanisa KATOLIKI tangu mwaka 538-1978 AD ,watu WALIUAWA kaa kupinga kutabua kanisa KATOLIKI kama kanisa Mungu maana lilikuwa linaingiza mapokeo na kuwafanya sehemu ya ibada ,hivyo wale waliokataa mapokea na ibada za SANAMU WALIUAWA

PAPA Pia mwaka Jana aliomba msamaha kaa tukio hilo

Huoni kama hapa kuna uwalakini kwenye ukatoliki ?
Unaanza kutoka kwenye mada yako ya Rwanda. Pia hapo ulipo unatetea mapokeo ya binadamu japo hujielewi. Nilikuomba usome kitabu cha E. G. White lakini bado hujafanya hivyo.
 
Mkuu na mauji ya watu zaidi ya 50M yaliyotekelezwa na kanisa KATOLIKI tangu mwaka 538-1978 AD ,watu WALIUAWA kaa kupinga kutabua kanisa KATOLIKI kama kanisa Mungu maana lilikuwa linaingiza mapokeo na kuwafanya sehemu ya ibada ,hivyo wale waliokataa mapokea na ibada za SANAMU WALIUAWA

PAPA Pia mwaka Jana aliomba msamaha kaa tukio hilo

Huoni kama hapa kuna uwalakini kwenye ukatoliki ?
Pia hukunipa mrejesho wa ufunuo 14:3-8. Naomba upasome ili tujadili mapokeo yako
 
watu siku hizi wameacha kuhubiri neno la Mungu, wamekazana kuponda makanisa na kutafuta waumini kwa nguvu!mmekazana na madhehebu as if madhehebu ndo ticket ya kwenda mbinguni,mnaquote vifungu vya biblia na kupotosha maana
 
Mkuu kasome vizuri, watu wanafika mwisho wa nyakati we unasema wanyama wa ufunuo na daniel hawajaotokea ,acha vichekesho
Mosi,sishangai wewe kuona ni vichekesho kwasababu ya nature ya namna unavyofikiri na ulipoitoa dhana yako,lakini zaidi sana ni kwasababu ya watu wengi wanavyodhania huu unabii unavyotokea,wanadhani umeshatokea.....

Pili,unaniambia nikasome,nikasome wapi ili nielewe nini? Unapomuelekeza mtu akasome kuwa specific unataka akasome wapi na nini ili aone nini siyo unaagiza tu "nenda kasome".....

Mimi nilikuambia na ninakuambia kuwa unabii wa Danieli na Ufunuo haujatimia hata theluthi yake,wewe unasema umetimia,umetimia wapi na lini?

Usikurupuke kunijibu maana utaishi kuikimbia thread yako bure,jibu huku ukiwa na uhakika wa unachikijibu......
 
Mkuu na mauji ya watu zaidi ya 50M yaliyotekelezwa na kanisa KATOLIKI tangu mwaka 538-1978 AD ,watu WALIUAWA kaa kupinga kutabua kanisa KATOLIKI kama kanisa Mungu maana lilikuwa linaingiza mapokeo na kuwafanya sehemu ya ibada ,hivyo wale waliokataa mapokea na ibada za SANAMU WALIUAWA

PAPA Pia mwaka Jana aliomba msamaha kaa tukio hilo

Huoni kama hapa kuna uwalakini kwenye ukatoliki ?
Hauko makini kwenye uandishi wako na hili litatia shaka hata unachoandika hapa,siyo 538- 1978 bali ni 538-1798...

Halafu huwa mnadanganya kuwa Roman Empire ilifall mwaka 476 sijui kwa historia ipi hiyo,Roman Empire haikuanguka mwaka huo isipokuwa Western Roman Empire ndiyo iliyoanguka mwaka huo lakini Eastern Roman Empire iliendelea kuwepo hadi miaka ya 1400 huko na ikaja ikafall kwa Ottoman Empire,sasa sielewi ni kwanini hili mnalikwepa....

Pia,ninawashangaa sana mnatumia kalenda ya kipagani kwa mtazamo wenu [Gregory Calender] hii ni kalenda ya Kirumi [Kipagani] mnaitumia kuhesabu mahesabu yenu katika kutimiza unabii ambaop Mungu hakutumia kalenda hiyo kuutoa,Mungu alitumia kalenda tofauti kabisa,alitumia kalenda ya Ki-Biblia ambayo haina mwezi wenye siku 31....

Unapotumia kalenda yenye hesabu tofauti ya idadi ya siku za mwezi ni lazima utakwama na hautakuwa sahihi kabisa.Mwaka wa kalenda ya Gregory una siku 365/6 wakati kalenda aliyotumia Mungu ina siku 360.Kwa mfano Miaka 20 ya kalenda unayoitumia wewe [Gregorian calender] ikitimia tarehe 20/03/2017 kwa mfano,miaka 20 ya kalenda yenye idadi ya siku 360 haitatimia tarehe hiyo,lazima itakuwa kabla ya hapo maana mwaka una siku chache....

Kwa maana hiyo kuna makosa makubwa kwenye assumption yenu ya kuanzia mwaka 538 hadi 1798 ili kuitimiza miaka/siku 1260 za kiunabii maana ukiangalia hapo utaona kuna gape la siku 6300 ambayo ni sawa na miaka 17.5 kwasababu ya tofauti ya siku 5 kila mwaka.Ili muwe sahihi unabii ulipaswa utimie mwaka 1780 mwezi wa sita na haukupaswa uanze mwaka 538 vile vile....

Nimekupa changamoto ndogo sana ya kimahesabu na sijui kama utaielewa japokuwa hata assumption ya mwaka 538 ni uongo na pia assumption ya Rumi kuwa kwenye unabii ni uongo vile vile na Papa kuwa Mpinga Kristo ni uongo mkuu pia.....

Uongo umejaa kwenye madai yenu haya....
 
Historia inaonyesha wazi kuwa Mamlaka ya Papa ilitesa na kuangamiza Wakristo, hasa katika kilele cha utawala wake katika karne za kati. Wanahistoria wengi wanasema zaidi ya watu milioni hamsini waliuawa kwa ajili ya imani zao katika kipindi cha dhiki kuu.Sababu kuu ya kuuawa na kuteswa kwao ilikuwa ni kupinga na kukataa kutambua kanisa KATOLIKI kama kanisa la Mungu ,hivyo walitakiwa kuuawa au kuteswa ili "wazushi" hawa wanyamazishwe
Dokezo la Biblia kuhusu ukatii huu,imeandikiwa

“Naye akapewa kinywa cha kunena maneno makuu, ya makufuru. Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake miezi arobaini na miwili. Akafunua kinywa chake amtukane Mungu, na kulitukana jina lake; na maskani yake, nao wakaao mbinguni. Tena akapewa kufanya vita na watakatifu na KUWASHINDA, akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na taifa. Ufunuon 13:5-7

PAPA FRANCIS AOMBA MASAMAHA

Papa Francis awaomba radhi Waprotestanti ,BBC WANARIPOTI

26 Januari 2016

Katika hatua ya kujumuisha umoja wa kikristo, Papa Francis amewaomba radhi waumini wa Kiprotestanti kutokana na unyanyasaji walioupata kutoka kanisa Katoliki miaka ya nyuma.

Papa Francis amewataka waumini wa kanisa Katoliki pia kuwasamehe wale ambao waliwakosea ili wasiruhusu makosa yaliyotendeka nyuma kuwa sumu ya mahusiano ya sasa. Kufuatia tamko hilo msemaji wa Vatcan ametangaza kuwa Papa Francis atazuru mji wa Lund uliopo Swedish eneo ambalo jumuiya ya Kilutheri ilianzishwa na kuanzisha thehebu la Kilutheri karne tano zilizopita.

KUHUSU Mauji ya RWANDA

PAPA FRANCIS AMEKUBALI KUWA KANISA KATOLIKI LILIHUSIKA KATIKA MAUAJI HAYO AMBAPO WATU ZAIDI YA 800,00O WALIUAWA ,BBC WANARIPOTI

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa "dhambi na makosa yaliyotekelezwa na Kanisa na waumini wake … ambao walitekwa na chuki na ghasia" wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda.

Alikuwa akiongea baada ya kukutana na Rais Paul Kagame mjini Vatican.

Ombi lake la msahama limetokea baada ya ombi la Rwanda Novemba mwaka jana kwa Vatican kuomba radhi kutokana na mchango wa mapadri wa kanisa Katoliki na baadhi ya viongozi wake wakati wa mauaji hayo ya mwaka 1994.
-----
haya ni machache yalifunuka hata tukayaona ,je kuna mangapi ambayo hatuyajuai ?

Je kanisa KATOLIKI limebadilika? ,LA HASHA ! hapana kanisa hili halitabadilika kamwe bali litabadili namna ya utendaji wake kulingana na wakati ,hii ni kwa sababu kanisa hili linapata nguvu KUTOKA kwa shetani mwenyewe soma,Ufunuo wa Yohana 13 : 2

BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU KANISA HILI KATILI

Note:mwanamke katika unabii humaanisha kanisa ,hapa Mungu analielezea kanisa KATOLIKI na watoto wake [makanisa yote yanayopinga amri za Mungu] kwa kutumia mwanamke kahaba na binti zake ,kama kuna mahali hutaelewa uliza

Akaja mmoja wa wale malaika saba, wenye vile vitasa saba, akanena nami, akisema, Njoo huku, nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu aketiye juu ya maji mengi;ambaye wafalme wa nchi wamezini naye, nao wakaao katika nchi wamelevywa kwa mvinyo ya uasherati wake. Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi - Na mwanamke yule alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake.Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI. - Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu.Ufunuo wa Yohana 17 : 1-6

Mungu anajua mateso yanayosababishwa na kanisa KATOLIKI kwa watu wake ,hukumu yake inaafaliwa

Wakatoliki waaminifu wafanye nini ?

Mungu anasema

Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.- Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.Ufunuo wa Yohana 18 : 4-5

Siyo 800,000 mkuu, ni zaidi ya milioni, taarifa zikizopo wanafikia zaidi ya 1,200,000 japo utafiti bado unaendelea idadi kamili haijafahamika
 
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Wasabato wana vituko sana.Ukiwakuta wanavyoshupaza shingo zao na kuimba nyimbo kwa sauti za kooni/glottal/hymns...utadhani wanaingia mbinguni ikifika jioni.Kwa usengenyaji sasa,loooh,zei aa anaza!😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom