Ukatili wa Kanisa Katoliki, Papa aomba msamaha

Ukatili wa Kanisa Katoliki, Papa aomba msamaha

Mh. Ninakupongeza kwa jitihada zako japo sijui ni kwa lengo gani; kuongoa au kuhubiri ama kukerehesha.

Kuna uzi mwingine umeukimbia ukaibukia huku. Napenda nichangie machache kwa lengo like like la kuelimishwa.

Mosi, msamaha ulioombwa siyo kwa ushiriki wa Kanisa katoliki bali waumini wa Kanisa katoliki. Kama nilielewa vibaya nipo radhi kusahihishwa.

Pili, siyo kweli kwamba waumini wa madhehebu na dini tofauti hawakushiriki katika hayo mauaji ya kimbari. Watu wa imani zote walishiriki ikiwa ni pamoja na wa dhehebu lako. Labda kama hujui kilichotokea.

Tatu, motive ya mauaji ilikuwa mbali sana na mambo ya dini. Bali yalichagizwa na mpishano wa kmatabaka yaliyojengwa na ukabila na ubaguzi wa kikabila. Ikiwa ni dini basi ni radhi kujuzwa.

Nne, mwanazuoni Mahmoud Mamdan alilifanyia utafiti wa kina suala hili ili kubaini chanzo chake na akahitimisha kwa kuandika kitabu chake maarufu sana kiitwacho "When Victims Become Killers" ameweka bayana pasi na shaka kile kilichozaa mauaji. Nakushauri ukipate ili ujifunze kitu.

*Kutokana na sababu zilizoainishwa, watu walivua ukatoliki, usabato, uislamu nauprotestanti na kuvaa Uhutu na Utusi. Kwa hiyo alichokifanya papa ni kutibu majeraha kwa vile waumini walishiriki kupitia uhutu na utusi wao.

*Kanisa katoliki lina taasisi kama shule na makazi ya mapadre ambapo watu wengi walikimbilia. Kanisa halikuwa na uwezo wa kuzuia wauwaji wasiingie hivyo kuna watu waliuawa kwenye maeneo yaliyo chini ya Kanisa katoliki kama ambavyo wengine waliuawa kwenye majengo ya serikali.

*Pia kuna wahudumu wa Kanisa ambao walitanguliza makabila yao hivyo waliwataarifu wauaji kwamba kuna waliojificha makanisani. Hii ni sawa na maaskari ambao badala ya kuwalinda raia walivaa ukabila wao na kuanza kuwaua na kuwawinda.

*Pia kuna wake ama waume ambao waliwaua wenzi wao kwa sababu walikuwa kabila hasimu. Hii inaonesha ni jinsi gani chuki ya ukabila na ubaguzi ilipikika ikaiva na kuwakolea watu kiasi cha kuondoa utu ndani yao.

Tano, kuna somo zuri sana kwetu sisi ambao tunapenda kutengeneza mazingira ya kutunufaisha.
Ninasikitika kuona unalazimisha tukio hili liwe ni msaada wako wa kupata waumini. Ndugu yangu, inaonesha hujui chochote kuhusiana na hii dhahama. Ushauri kwako
. Siyo vizuri kuibua hisia. Tumia maandiko na ishi imani yako kiuadilifu nasi wapotevu tutajifunza na kukufuata pale ulipo.
. Mtu wa Mungu unapaswa uwe na roho wa bwana ili ufariji waliao na kuwapatia maua badala ya jivu.
. Omba kwa ajili ya nchi yetu ili tusiendelee kuhubiri ukabila na ukanda na pengine tutoe fursa kwa usawa ili tusifike huko.
.Ninakuombea ili hekima ya Mungu iwe nawe kusudi ukapate kuona kile ambacho unakihubiri pasipo kujua.

Mwisho, usiache kukitafuta hicho kitabu. Pia nilikushauri utafute kitabu cha E. G. White "Retirement Years" uone namna alivyopata Ujumbe wa kuhubiri kupitia Vitabu badala ya jukwaani.

Penda kujifunza kwani huwezi kuwa na maarifa yote kwa kila kitu.

Tumsifu Yesu Kristo.
Msamaha alioomba Papa ni kwa kanisa katoliki lenyewe-utawala wake na kwa kuratibu mauaji na wala si kwamba waumini waliua bila kutumwa na kanisa. Kanisa lilipanga na kutekeleza mauaji na Papa ameomba radhi. Issue ya Rwanda inakuwa tofauti , nakubaliana wewe kuwa motive za kikabila zilisababisha viongozi wa dini mbalimbali kujihusisha na mauaji.
 
Historia inaonyesha wazi kuwa Mamlaka ya Papa ilitesa na kuangamiza Wakristo, hasa katika kilele cha utawala wake katika karne za kati. Wanahistoria wengi wanasema zaidi ya watu milioni hamsini waliuawa kwa ajili ya imani zao katika kipindi cha dhiki kuu.Sababu kuu ya kuuawa na kuteswa kwao ilikuwa ni kupinga na kukataa kutambua kanisa KATOLIKI kama kanisa la Mungu ,hivyo walitakiwa kuuawa au kuteswa ili "wazushi" hawa wanyamazishwe
Dokezo la Biblia kuhusu ukatii huu,imeandikiwa

“Naye akapewa kinywa cha kunena maneno makuu, ya makufuru. Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake miezi arobaini na miwili. Akafunua kinywa chake amtukane Mungu, na kulitukana jina lake; na maskani yake, nao wakaao mbinguni. Tena akapewa kufanya vita na watakatifu na KUWASHINDA, akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na taifa. Ufunuon 13:5-7

PAPA FRANCIS AOMBA MASAMAHA

Papa Francis awaomba radhi Waprotestanti ,BBC WANARIPOTI

26 Januari 2016

Katika hatua ya kujumuisha umoja wa kikristo, Papa Francis amewaomba radhi waumini wa Kiprotestanti kutokana na unyanyasaji walioupata kutoka kanisa Katoliki miaka ya nyuma.

Papa Francis amewataka waumini wa kanisa Katoliki pia kuwasamehe wale ambao waliwakosea ili wasiruhusu makosa yaliyotendeka nyuma kuwa sumu ya mahusiano ya sasa. Kufuatia tamko hilo msemaji wa Vatcan ametangaza kuwa Papa Francis atazuru mji wa Lund uliopo Swedish eneo ambalo jumuiya ya Kilutheri ilianzishwa na kuanzisha thehebu la Kilutheri karne tano zilizopita.

KUHUSU Mauji ya RWANDA

PAPA FRANCIS AMEKUBALI KUWA KANISA KATOLIKI LILIHUSIKA KATIKA MAUAJI HAYO AMBAPO WATU ZAIDI YA 800,00O WALIUAWA ,BBC WANARIPOTI

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa "dhambi na makosa yaliyotekelezwa na Kanisa na waumini wake … ambao walitekwa na chuki na ghasia" wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda.

Alikuwa akiongea baada ya kukutana na Rais Paul Kagame mjini Vatican.

Ombi lake la msahama limetokea baada ya ombi la Rwanda Novemba mwaka jana kwa Vatican kuomba radhi kutokana na mchango wa mapadri wa kanisa Katoliki na baadhi ya viongozi wake wakati wa mauaji hayo ya mwaka 1994.
-----
haya ni machache yalifunuka hata tukayaona ,je kuna mangapi ambayo hatuyajuai ?

Je kanisa KATOLIKI limebadilika? ,LA HASHA ! hapana kanisa hili halitabadilika kamwe bali litabadili namna ya utendaji wake kulingana na wakati ,hii ni kwa sababu kanisa hili linapata nguvu KUTOKA kwa shetani mwenyewe soma,Ufunuo wa Yohana 13 : 2

BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU KANISA HILI KATILI

Note:mwanamke katika unabii humaanisha kanisa ,hapa Mungu analielezea kanisa KATOLIKI na watoto wake [makanisa yote yanayopinga amri za Mungu] kwa kutumia mwanamke kahaba na binti zake ,kama kuna mahali hutaelewa uliza

Akaja mmoja wa wale malaika saba, wenye vile vitasa saba, akanena nami, akisema, Njoo huku, nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu aketiye juu ya maji mengi;ambaye wafalme wa nchi wamezini naye, nao wakaao katika nchi wamelevywa kwa mvinyo ya uasherati wake. Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi - Na mwanamke yule alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake.Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI. - Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu.Ufunuo wa Yohana 17 : 1-6

Mungu anajua mateso yanayosababishwa na kanisa KATOLIKI kwa watu wake ,hukumu yake inaafaliwa

Wakatoliki waaminifu wafanye nini ?

Mungu anasema

Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.- Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.Ufunuo wa Yohana 18 : 4-5

Sorry! Kuokoteza okoteza unrelated facts na kuzifanya ziunde taswira ya ubaya wa imani ya waumini fulani bila kuwa na sababu yoyote ya maana is itself evil. Kuwa obsessed na Kanisa Katoliki au kuwa filled with repulsion against it ni dhambi pia. So, you are not better or you don't become so by trampling on other people's belief system.
 
Msamaha alioomba Papa ni kwa kanisa katoliki lenyewe-utawala wake na kwa kuratibu mauaji na wala si kwamba waumini waliua bila kutumwa na kanisa. Kanisa lilipanga na kutekeleza mauaji na Papa ameomba radhi. Issue ya Rwanda inakuwa tofauti , nakubaliana wewe kuwa motive za kikabila zilisababisha viongozi wa dini mbalimbali kujihusisha na mauaji.
Samahani kwa kulisema hili, wewe ni mjinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana na wewe unaleta story za mtaani, watu wamefanya tafiti kwa muda mrefu sana, kuituhumu katoliki kuhusika na mauaji sio jambo la kitoto au kirahisi km unavyodhani. Verification and justification ili rudiwa rudiwa pasipo kuacha shaka yoyote.
Kama kungekuwa na madhehebu mengine yalihusika moja kwa moja yangetajwa ktk report.
Kuna mambo yalifanywa wazi na Mapadri/ viongozi wa katoliki kuwezesha mauaji hata ktk msamaha wake hakuomba kwa ajili ya waumini wa kikatoliki bali aliomba kwa ajili ya kanisa na viongozi hao.
Kiongozi wajuu kabisa i.e papa kuomba kukiri kuhusika na mauaji na msamaha sio jambo la kubahatisha, lilifanyiwa upembuzi yakinifu na kujiridhisha kabla hajatoa neno la kuomba msamaha kwani anajua litabaki miongo kwa miongo, vizazi kwa vizazi kama ilivyobaki historia kwa siku za utesaji wa Rumi kwa kanisa la Mungu.

Usishupaze shingo unapoelekezwa, linaweza kuvunjika.
Unapendekeza nini?
 
Ngona waje wenyewe wakukute hapa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna baadhi ya wasabato wanachuki na Papa pamoja na kanisa katoliki kuliko hata huyo shetani wa kufikirika. Ujumbe mkubwa wa mafundisho ya kisabato ni kuwa against na ukatoliki kuliko hata shetani.

Lkn huwa hawasemi ni lini shetani alimkabidhi Papa au kanisa katoliki huo ushetani. Wanajidhuru nafsi zao na roho zao kwa kufundishana chuki.

Ninachokijua, hakuna dini wala dhehebu lolote kwa sasa linaloweza kufanya kazi zake wala kuwepo duniani hapa bila kuunga mkono Kanisa Katoliki au bila idhini ya kanisa Katoliki. Hata Kanisa la kisabato ni part and parcel ya Kanisa la kisabato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hali ya ku quote vifungu vya kwenye Bible kuonesha uovu wa Kanisa Katoliki, it makes paradox.

Mtu hawezi kuzungumza credibility au accuracy ya Bible bila kuzungumza Kanisa Katoliki na ma- Papa.
Ni vyema mtu akifuatilia ni namna gani Bible ilifika pale ilivyo. Kanisa Katoliki chini ya viongozi hao wa (Roman empire) na wayahudi wachache watiifu kwa Roman ndiyo waliiweka hivyo kwa ku- compile vitabu vya waandishi hao.

Kanisa Katoliki wanafahamu in-out ya imani ya kikristo. Ndio waasisi, ndio kiini na ndio dunia , ndio ustaarabu wa leo tunaouishi

Kwa hiyo Kanisa Katoliki kupingana au kushindana au kutofautiana na maandishi ya kwenye Bible- mtu anahitaji kujiuliza maswali mengi ya kwa nini.

Kisomwacho sicho/sivyo kinavyotafsiriwa kuleta maana lengwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ni Ma Al Shabab Al Qaida na ISIS Haya.
 
Mh. Ninakupongeza kwa jitihada zako japo sijui ni kwa lengo gani; kuongoa au kuhubiri ama kukerehesha.

Kuna uzi mwingine umeukimbia ukaibukia huku. Napenda nichangie machache kwa lengo like like la kuelimishwa.

Mosi, msamaha ulioombwa siyo kwa ushiriki wa Kanisa katoliki bali waumini wa Kanisa katoliki. Kama nilielewa vibaya nipo radhi kusahihishwa.

Pili, siyo kweli kwamba waumini wa madhehebu na dini tofauti hawakushiriki katika hayo mauaji ya kimbari. Watu wa imani zote walishiriki ikiwa ni pamoja na wa dhehebu lako. Labda kama hujui kilichotokea.

Tatu, motive ya mauaji ilikuwa mbali sana na mambo ya dini. Bali yalichagizwa na mpishano wa kmatabaka yaliyojengwa na ukabila na ubaguzi wa kikabila. Ikiwa ni dini basi ni radhi kujuzwa.

Nne, mwanazuoni Mahmoud Mamdan alilifanyia utafiti wa kina suala hili ili kubaini chanzo chake na akahitimisha kwa kuandika kitabu chake maarufu sana kiitwacho "When Victims Become Killers" ameweka bayana pasi na shaka kile kilichozaa mauaji. Nakushauri ukipate ili ujifunze kitu.

*Kutokana na sababu zilizoainishwa, watu walivua ukatoliki, usabato, uislamu nauprotestanti na kuvaa Uhutu na Utusi. Kwa hiyo alichokifanya papa ni kutibu majeraha kwa vile waumini walishiriki kupitia uhutu na utusi wao.

*Kanisa katoliki lina taasisi kama shule na makazi ya mapadre ambapo watu wengi walikimbilia. Kanisa halikuwa na uwezo wa kuzuia wauwaji wasiingie hivyo kuna watu waliuawa kwenye maeneo yaliyo chini ya Kanisa katoliki kama ambavyo wengine waliuawa kwenye majengo ya serikali.

*Pia kuna wahudumu wa Kanisa ambao walitanguliza makabila yao hivyo waliwataarifu wauaji kwamba kuna waliojificha makanisani. Hii ni sawa na maaskari ambao badala ya kuwalinda raia walivaa ukabila wao na kuanza kuwaua na kuwawinda.

*Pia kuna wake ama waume ambao waliwaua wenzi wao kwa sababu walikuwa kabila hasimu. Hii inaonesha ni jinsi gani chuki ya ukabila na ubaguzi ilipikika ikaiva na kuwakolea watu kiasi cha kuondoa utu ndani yao.

Tano, kuna somo zuri sana kwetu sisi ambao tunapenda kutengeneza mazingira ya kutunufaisha.
Ninasikitika kuona unalazimisha tukio hili liwe ni msaada wako wa kupata waumini. Ndugu yangu, inaonesha hujui chochote kuhusiana na hii dhahama. Ushauri kwako
. Siyo vizuri kuibua hisia. Tumia maandiko na ishi imani yako kiuadilifu nasi wapotevu tutajifunza na kukufuata pale ulipo.
. Mtu wa Mungu unapaswa uwe na roho wa bwana ili ufariji waliao na kuwapatia maua badala ya jivu.
. Omba kwa ajili ya nchi yetu ili tusiendelee kuhubiri ukabila na ukanda na pengine tutoe fursa kwa usawa ili tusifike huko.
.Ninakuombea ili hekima ya Mungu iwe nawe kusudi ukapate kuona kile ambacho unakihubiri pasipo kujua.

Mwisho, usiache kukitafuta hicho kitabu. Pia nilikushauri utafute kitabu cha E. G. White "Retirement Years" uone namna alivyopata Ujumbe wa kuhubiri kupitia Vitabu badala ya jukwaani.

Penda kujifunza kwani huwezi kuwa na maarifa yote kwa kila kitu.

Tumsifu Yesu Kristo.
Haya ni kama Mauwaji ya Zanzibar wakati wa Mapinduzi,japo waliokufa walikuwa wachache, kwa Idadi ya population ya wazanzibari wa wakati ule ilikuwa kubwa.Waliuliwa watu kwa sababu ya Uarabu wao tuu na si vengine au Uhizibu wao.
Na wengine waliuliwa kwa sababu ya Kuunga mkono serikali ya Hizbu.
Hzi ndo tabia za Uafrika,kuuwana kwa chuki, Okelo alisema katumwa na Mungu kuuwa .Huku akiwa yeye ni Mkatoliki,alisingizia pia Ukiristo wake.

Kwa Ufupi
DINI ZOTE HUFUNZA AMANI,UPENDO,NA UTENGAMANO KWA JAMII,NA KUHESHIMU HAKI ZA VIUMBE WOTE.

LAKINI WANADINI HUKUMBWA NA USHETANI NA KUSINGIZIA DINI NA KUFANYA UNYAMA.

Lakini,Wakati mwingine Hutokea Viongozi wa hilo kanisa kutowa miongozo inayosababisha mauwaji.

Pamoja na kufanya kwao hivyo haihalalishi kuwa yale ni mafundisho sahihi ya kanisa la mungu.

Mfano wazungu walipokuja kuzivamia nchi zetu Afrika hasa zilizokuwa chini ya Waislamu .East Africa Cost.
kanisa lilitoa azimio hili?

''Uvamizi huo wa wareno umetokana na agizo la PAPA NICHOLAS-V kwa kumuagiza mfalme ALFONSO aliekua akiwatumikia wareno katika Bara la Afrika. Barua ya maagizo ya PAPA ni hii hapa:-

"Tunamruhusu na tuna mtuma kwa kumpa uhuru wote Mfalme ALFONSO wa kuwashinda na kuwakamata na kuwapiga vita na kuwafanya watii amri zetu waarabu,waislamu na wapagani na maadui wote wa ukristo popot pale walipo.Na kukamata nchi zao ,falme zao,mali yao ,ardhi zao na utajiri wote walionao na kuwaingiza katika utumwa wa daima."
 
Hivi leo, kuna makanisa yanachochea chuki duniani ,
Pale zanzibar Kanisa la Mkunazini limeweka mahali maalumu kanisani likiwaalika watu kutoka sehemu mbali mbali nchini na duniani kutowa simulizi za kupanga kuhusu Utumwa,waarabu na uislamu zanzibar ili kuhakikisha kuwa chuki ile ya utumwa inadumu vichwani mwa watu .
hatima yake time yoyote vinaweza kulipuka vita vya uchochezi ule na kusababisha mauwaji makubwa ,tutasema Kanisa limeshiriki.
kumbe ni Ajenda maalumu ya wanasiaa fulani kwa maslahi ya Mirengo yao hulitumia kanisa,mambo ambayo Mungu ameshayaondowa duniani.
Hili ndo tatizo
TENA KANISA HILI SI KATOLIKI NI ANGLIKAN
 
Search Results

Elizaphan Ntakirutimana

Pastor

OVERVIEW

PEOPLE ALSO SEARCH FOR

Images

[https://encrypted-tbn0]

[https://encrypted-tbn0]

[https://encrypted-tbn0]

[https://encrypted-tbn0]

[https://encrypted-tbn0]

View all

Description

Description

Elizaphan Ntakirutimana was a pastor of the Seventh-day Adventist Church in Rwanda and was the first clergyman to be convicted for a role in the 1994 Rwandan genocide. Wikipedia

Born: 1924, Kibuye, Rwanda

Died: January 22, 2007, Arusha

Conviction(s): crime against humanity

Criminal penalty: 10 years

Back
Top Bottom