Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Sep 23, 2014 Thread starter #21 taamu said: mapenzi wazimu mkuu ila nisingekubali mtoto ageuzwe begi sababu ya mapenzi ya kilevi Click to expand... taamu kuna mengi mabaya wanatendewa wanawake na watoto lakini hayaripotiwi na yanafichwa na waathirika kisa kulinda ndoa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
taamu said: mapenzi wazimu mkuu ila nisingekubali mtoto ageuzwe begi sababu ya mapenzi ya kilevi Click to expand... taamu kuna mengi mabaya wanatendewa wanawake na watoto lakini hayaripotiwi na yanafichwa na waathirika kisa kulinda ndoa
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Sep 26, 2014 #22 mshana jr said: taamu kuna mengi mabaya wanatendewa wanawake na watoto lakini hayaripotiwi na yanafichwa na waathirika kisa kulinda ndoa Click to expand... na ndio ubovu upo hapo mkuu
mshana jr said: taamu kuna mengi mabaya wanatendewa wanawake na watoto lakini hayaripotiwi na yanafichwa na waathirika kisa kulinda ndoa Click to expand... na ndio ubovu upo hapo mkuu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Sep 26, 2014 Thread starter #23 taamu said: na ndio ubovu upo hapo mkuu Click to expand... Tunahitaji mabadiliko tena toka ndani ya familia zetu
taamu said: na ndio ubovu upo hapo mkuu Click to expand... Tunahitaji mabadiliko tena toka ndani ya familia zetu
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,301 Sep 26, 2014 #24 Samahani mkuu mshana jr,hiv hiz picha unazioataga wapi..? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Babeake JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 465 Reaction score 159 Sep 26, 2014 #25 Dhambi mweee....ss mtoto kamkosea nn jamaniii.....mwisho wa siku amtumie kama silaha kumpiga mkewe
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Sep 27, 2014 Thread starter #26 Jaslaws said: Samahani mkuu mshana jr,hiv hiz picha unazioataga wapi..? Click to expand... Jaslaws nyingine napiga mwenyewe lakini nyingine naokoteza hapa na pale Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Jaslaws said: Samahani mkuu mshana jr,hiv hiz picha unazioataga wapi..? Click to expand... Jaslaws nyingine napiga mwenyewe lakini nyingine naokoteza hapa na pale