Halafu hapo anategemea jioni apewe unyumba kiroho safi. Kweli akili ni nywele
Huruma zaidi iko kwa huyo malaika asiyejua chochote
unatafuta kamba usiku akilala funga kisha unachukua kiboko ni kupiga hadi...Dume kama hili lisohuruma nalitaftia mda naliadhibu alafu nalikimbia
Dume kama hili lisohuruma nalitaftia mda naliadhibu alafu nalikimbia
farkhina una imani sana ingawa ukweli upo wazi uyo jamaa hafai ktka jamii
unatafuta kamba usiku akilala funga kisha unachukua kiboko ni kupiga hadi...
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaah, utaweza lakini, au unasubiri alewe umfunge kamba
mapenzi wazimu mkuu ila nisingekubali mtoto ageuzwe begi sababu ya mapenzi ya kileviMapenzi kitu cha ajabu mno taamu si ajabu usiku Hugo bidada alimchanulia mshkaji