UKATILI:Mtoto acharangwa mapanga.

Baba mtata

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
280
40
Habari wakuu.
Mtoto Gifti anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 7 mkazi wa Yombo,Buza,Temeke.Dar amecharangwa na mapanga na baba yake mzazi baada ya mtoto huyo kujaribu kuamlia ugomvi kati ya baba na mama yake.SOURCE ITV habari
 
Duh!hii ni mbaya kuliko maelezo,ni sawa na kutumia bastora kuuwa sisimizi!
 
Ooh God!! Kuna Gifti mwingine wa Arusha alipigwa kibiriti na mama yake mzazi kwa kushirikiana na mpangaji wao wa kike!!God forbid,utu umetoweka kabisa duniani.
 
sina hukumu ya kutosha kwa hawa wazazi wa2,,, laiti ngekua katika uweza wangu nisingewaua, ila wangeteseka milele katika dunia hii na ijayo
 
Back
Top Bottom