Ukatili kwa watoto: Mama mzazi amchoma mwanae kwa kisingizio cha kuiba pesa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,141

Mtoto samweli mwenye umri WA miaka 13 mwanafunzi WA darasa la 4 katika shule ya msingi Amani ilala DSM amejikuta katika maumivu makubwa baada ya kuchomwa moto baada ya kumwagiwa mafuta ya taà na kisha kuwashwa na kiberiti na mama yake mzazi kwa tuhuma za kuiba shilingi elfu kumi (10000).

Kwa Sasa kijana huyu yupo hospitali huku mama akiwa chini ya POLISI kituo cha staki shari kemea ukatili kwa kuwa mmoja WA wanaolani vitendo hivi.
 
Attachments

  • 10374468_1434189033502757_159032075206602917_n.jpg
    36.6 KB · Views: 489
Whaat mtoto wangu mimii hata angeiba laki hata awe wa jirani siwezi muumiza hiv kuna njia za kumuadhibu mtoto sio hivii bora angechoma mke mwenzie
Pu.mbavuu huyo mwanamke hakuumwa uchungu
 
Whaat mtoto wangu mimii hata angeiba laki hata awe wa jirani siwezi muumiza hiv kuna njia za kumuadhibu mtoto sio hivii bora angechoma mke mwenzie
Pu.mbavuu huyo mwanamke hakuumwa uchungu

Alafu nyie mnaongea hivi ndio ambao mtoto asiokuwa wako akiingia ndani mwako huwa mnawafinya sana!!
 
Inasikitisha sana,kitoto kizuri,unakipa ulemavu,usio wa lazima.
 
Whaat mtoto wangu mimii hata angeiba laki hata awe wa jirani siwezi muumiza hiv kuna njia za kumuadhibu mtoto sio hivii bora angechoma mke mwenzie
Pu.mbavuu huyo mwanamke hakuumwa uchungu

Kwani una maana gani kwa kauli yako ya bora angemchoma mke mwenzie? Wewe pia ndo walewale wakatili ndani ya jamii. Pimbaaaavu zako wewe.
 
dah wamama imekuwaje mbona tnaharib ile sifa yetu ya kwamba sisi huwa tnaupendo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…