Ukatili kwa wanyama

jigili

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
347
339
Tafadhali naomba kwa anayefahamu anifahamishe ni wapi naweza toa taarifa na ikafanyiwa kazi endapo nimeona mnyama anafanyiwa ukatili sababu kuna mtu naona hamtendei haki Ngedere wake anamfundisha kushika kichwa, kuruka n.k.akikosea anapigwa mpaka majirani tunasikia kilio chake.
 
Back
Top Bottom