Ukatili dhidi ya watoto wa kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukatili dhidi ya watoto wa kike

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Sep 9, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tobaaaaaaa! Huyo mtoto ana wazazi kweli?  Ukatili wa hali ya juu huo!
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,349
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  si wa kike hata wa kiume hufanyiwa ukatili huo!
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  lazima ajute kuzaliwa mwanamke, Duh!
   
 5. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  FGM ni ukatili na hatari sana ingawa kuna makabila wanafanya mpaka sasa kwa siri.
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  nasikia hii kitu inapunguzaga nyodo za kike.........
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Ni kweli inapunguza matamanio na Mwanamke akikata anakuwa kam ni dume hana nyege kabisa huku nilipo wapo Wanawake wa Ethiopia wengi wao wamekata hii kitu hawana kabisa nyege ukitaka kumfanya itabidi utumie nguvu za ziada kumfanya kama unavyoona jogoo anavyomkimbiza kuku ndio hivyo hivyo hawana mpya kabisa asigwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,185
  Likes Received: 2,883
  Trophy Points: 280
  kwa mwanaume sawa, ila kwa hz totoz za kike siungi mkono
   
 9. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Duh, hapo kw red umenizima stimu kabisa aisee, yani sitaki kuamini hata huyu wamemchonga??? Ni kutoka pande hizo

  [​IMG]
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu aritoine ndio hata huyu wamemkata hana nyege huyu uzuri wa sura tu.Yupo kama dume tu unaweza kumuacha na wanawaume zaidi ya sita na asione haya au nyege huku nilipo wapo wa kumwaga wabongo wanaliwa pesa zao utamkuta huyo Mwanamke anaweza kutembea na


  Wanaume zaidi ya 5 kwa siku anatafuta pesa wala hakupendi anataka pesa zako tu hawana mpya hao Mkuu. Hata ukimshika shika mwili huwa hasisimki hata kidogo ukiwa nae ndani kama dume mwenzako wakati wa kufanya mapenzi

  itabidi utumie nguvu kama una Mrap Sex itabidi uwe na ubavu anakuwa hajisikii hata kidogo nyege. kuna Rafiki wangu toka Mombasa alifanya nae mapenzi mwanamke akawa anasoma Gazeti jamaa yupo juu ya kifua cha mwanamke alipomaliza yule jamaa kukojoa yule mwanamke alimuuliza je umesha maliza akampa pesa yake mwanamke akaondoka zake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Female Genital Circumcision.
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nasikia kule pande za Butiama ndio kwenyewe.
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Duh! Mtoto kama huyu uniambie amefekwa huo utamu si umekwisha kabisa!
  Ingekuwa ushauri wangu wangewaacha wanawake huru kabisa bila ya kuwagusa!

   
 14. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  duh yaani mtoto kama huyu unamkata kifungua utamu binaadamu bana anajifanya mbuniiiifu mbona hao wanaume wa huko nao wasikubali kukatwa vichwa vya dushelele pumbavu zao.
   
 15. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CORRECTION: Female Genital Manipulation (FGM)
   
 16. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimewala kishezi wanyaturu waliofanyiwa hiyo kitu. Kovu linasuguaje?
   
 17. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #17
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Subhanallah....hiyo mbaya sana..

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 18. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseeee babaangu unyama mkubwa hii picha imekata mbege yangu yote kichwani
   
 19. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  duh...mkuu sasa hao wahabeshi si wakiamua kukutupia mingumi kama ni mzembe lazima utimue mkuu!!
  hii kitu nasikia iko sana kule MUSOMA sijui kama ni kweli
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu asigwa wahabeshi sisi huku tunawaita Maharage hawawezi kukutupia ngumi ila kama anakupenda atakuambia ukweli kuwa mbona humfikishi kileleni?lakini ikiwa

  kama anakuja kwako kwa ajili ya pesa utamaliza shida yako yeye ndio kwanza mbichi kama hujamfanya kitu matokeo yake

  utampa dola 50 yake na atakwenda zake. La kama anakupenda ndio atakuambia wapi umguse ili na yeye apate kujisikia kukata kinembe kunawathiri sana hawa Wahabeshi Maharage wazuri lakini hawana nyege, na nyege unayo wewe mwenyewe.
   
Loading...