Ukarimu wangu umeniponza

Ukarimu wangu umeniponza

Hama mtaa manake jamaa atakushughulikia endapo mkewe ataendelea kukusifia.
Si Kila aliyefungwa jela ana hatia.
 
Oa nawewe halafu mi niwe nampa nkeo lifti uone uchungu wake,nashangaa haya mambo umeyaleta huku huu ni umbeya,kipi kimekuuma,huu ni uamzi wangu binafsi
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Fi....uni...

Sasa bora umtafune huyo mkewe Ili tuhuma ziwe za kweli.........inauma sana kusingiziwa.............bora shari kamili kuliko shari nusu nusu kama hivyo...........

Chunga sana ushauri huu wengi wamejikuta kwenye wakati mgumu....

Wewe acronomy ni mtu wa ajabu sana jamaa kachukua maamuzi kuhusu familia yake wewe unakuja kulialia hapa.

Malizia kabisa Ndooloooobooo weweeee

Pole sana , ila kwa ushauri mzuri wa bure , nakushauri uhame hiyo nyumba kabisa ,, sio pahala pazuri tena kukaa hapo

Hata mimi naunga mkono huu ushauri kuna sehemu kaandika yeye mwenyewe(
  • unaweza kuhisiwa vibaya bila kufanya ubaya. Tuwe makini na wake za watu.)

Pole kijana, take it easy.
Wapo watakaokudhihaki na watakaokupa ushauri mzuri.
 
We kwa umri ulionao unashindwa kukopa vitz kazin kwel??
 
Hukutakiwa kuja huku mkuu besides ulitakiwa mkutane na jamaa falagha umueleze uhalisia kwamba you consider him like a real bloodbrother to the extent that wont dare ruining his marriage by any means. Hapo kidogo ingempunguzia doubt juu yako.

Anwambie ivyo wakati jamaa hajaweka sababu za maamuzi yake hayo bayana. si atakuwa anajipalia makaa ya mawe ya moto. Hahahahaaaaa
 
Sasa bora umtafune huyo mkewe Ili tuhuma ziwe za kweli.........inauma sana kusingiziwa.............bora shari kamili kuliko shari nusu nusu kama hivyo...........

Huu ni ushauri wa kitoto, acha mambo ya GF na BF, hapa suala hili linahusu mke wa mtu hivyo usichukulie simple kana kwamba ni lovers tu. Marriage needs seriousness!
 
Huu ni ushauri wa kitoto, acha mambo ya GF na BF, hapa suala hili linahusu mke wa mtu hivyo usichukulie simple kana kwamba ni lovers tu. Marriage needs seriousness!

Hii ndio JF bana.........karibu sana..........
 
Anwambie ivyo wakati jamaa hajaweka sababu za maamuzi yake hayo bayana. si atakuwa anajipalia makaa ya mawe ya moto. Hahahahaaaaa

Mwenye mke bado halijamtoka moyoni so would be best way kama jamaa angechukua uamzi wa kumuuliza kwamba amemuacha ktk hali ya sintofahamu kwa kitendo chake cha kustisha ghafla hisani aliyokuwa akiipa family yake hivyo kama kuna doubts zozote ni bora wakaziongelea ili yaishe.
Itakua jambo jema sana kwa ustawi wa ujilani walionao otherwise ahame tu hapo.
 
Sasa bora umtafune huyo mkewe Ili tuhuma ziwe za kweli.........inauma sana kusingiziwa.............bora shari kamili kuliko shari nusu nusu kama hivyo...........

I pretend I didn't read this...!
 
jamaa hama hapo, mdogo mtu keshakupa tahadhari,,,, hapakufai hapo...
 
Back
Top Bottom