Ukarimu wangu umeniponza

Ukarimu wangu umeniponza

Hukutakiwa kuja huku mkuu besides ulitakiwa mkutane na jamaa falagha umueleze uhalisia kwamba you consider him like a real bloodbrother to the extent that wont dare ruining his marriage by any means. Hapo kidogo ingempunguzia doubt juu yako.
 
Sasa bora umtafune huyo mkewe Ili tuhuma ziwe za kweli.........inauma sana kusingiziwa.............bora shari kamili kuliko shari nusu nusu kama hivyo...........

mkuu preta unamshauri amtafune kwani jamaa anakula watu?
 
Ndo maana tunafunga vioo hatutoi lift...
Dunia imeshaharibika siku hizi...
Umdhaniaye ndie kumbe sie...
 
Sasa bora umtafune huyo mkewe Ili tuhuma ziwe za kweli.........inauma sana kusingiziwa.............bora shari kamili kuliko shari nusu nusu kama hivyo...........

Katika ubora wako...mwambie ajiandae na ky jelly
 
Halafu ujenge sasa,ukiwa kwako unajiweka mbali na mambo kama haya,tatizo vijana wa mjini mnaona raha kuishi sinza na mwenge na kumiliki magari
 
Tenda wema usisubiri majibu.Mwenye mali anaamua kulinda mzigo wake.Tamaa inatuponza kufanya maamuzi ya ajabu.
 
Ingelikuwa nasi twasumbuliwa na watu wanaotushuku mambo mabaya...

Basi hapa jamvini kusingetosha kwa viloja na kadhia za wanaotushuku...

Hata wewe ukioa mkeo na akawa anapewa lift na jirani si ajabu ukawa kama jirani yako huyo...

Waswahili wanasema 'mtu chake' na jamaa kakufuata na kukueleza kwa hekima kabisa wala hajazua zogo...
 
Sasa bora umtafune huyo mkewe Ili tuhuma ziwe za kweli.........inauma sana kusingiziwa.............bora shari kamili kuliko shari nusu nusu kama hivyo...........

preta naona humtakii kijana mema maana mmh hii ni kama first warning kesho yake linaweza likaja la kuotolewa meno au wakadili na ule mtandao ... la kumshaur kama imemuuma amalizie hasira zake kwa yule mdogo wake maana mpaka namba kashapta so anaweza kujiongeza
 
Na m nlhsi hvyo hivyo.
hawakawiag kusema yule jiran anaendesha gar vzur n.k
 
Nakupongeza kwa kutostawisha tamaa mbaya ambayo ingepelekea kwenye matatizo....BIG UP.
 
Back
Top Bottom