Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
- Thread starter
- #81
daaaaaaahhh we Kaizer wewe em nijulishe wakaa wapi weye nielekeze fasta nije kukutembelea maanake ushanitamanisha hivyo,kukarimiwa raha banah ujue unajihisi furaha na amani isiyo na kifani,ila mkarimuji pia unahisi furaha inayotokana na kutoa so honngera sana mkuu kwa ukarimu wako naamini Mungu atakuzidishia.
Blue G hoja ya muhimu sana hii
Binafsi napenda wageni wakija kwangu wale wanywe hadi wasaze...ndio ukarimu wa kiafrika sio wa kizungu
Nitaumia sana kama nikijua mgeni hajahudumiwa ipasavyo il hali kuna kila kitu ndani..ugomvi wangu utaanzia kwa housegal hadi kwa mama mwenye nyumba, na ikibidi nntaingia front mwenyewe kumhudumia mgeni maana naamini wageni ni kama malaika waliotumwa na Mungu kutia baraka nyumbani
CC DEMBA
Last edited by a moderator: